Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

Nyie mliooa mtuachie mademu zetu huku mtaani,maana tukigusa wake zenu mnalalamika kweri kweri(kwa sauti ya yule jamaa)
 
Wanaume wapi unaowazungumzia? Sema wazinzi tuwe makini
 
Mbususu haieleweki ipo located wapi? Hapo ndo chanzo cha shida
 
Hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii hatariiii

Watu wamemwacha Mungu Sasa mtavuna mlivo panda
 
Ulimpeleka dispensary kupima ukimwi kisa kagongeka siku moja kabla na last sunday huo ukimwi ulidhani atauonaje mkuu? ujiandae kubwia mbaazi
 
Malaya unamtolea roho kama sio uboya ni nini. Achana na mwanamke anayejitegemea na kapanga chumba hawafai. Rudia familia yako yaani umekula dry halafu unaenda kupima muda huo huo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣mkuu wanasema ukiona unachoambiwa hakifanani na unachoona basi amini macho yako
Mnatandaziwa mbususu kwa ratiba
 
Wewe MPUMBAVU aisee una familia yako ila unataka kumchunga hawala ambaye ushamwambia unafamilia ninyi ndio mnatusumbua kwenye ofisi za umma
 
mkuu wewe una umri gani, na umesoma mpaka wapi? yaani mtu una mke, unamuambia binti una mke na anakukubali? huoni huyu ni malaya kaa wewe pia? wewe unacheat your wife, pls pls pls sex will kill some of you, nini hii munatafuta kwa mabinti? anyway you have learnt your lesson, but from my own understanding of you, sir you are not WISE
 
Nimeenda unavyosema TUNGEKUWA TUMEWAWEKA WAKE ZETU HATARINI"

Hii "nge" unamaanisha yani ulivoenda kupima umekuta negative basi fresh unajua jmeshapona yani?
Look veeere.
 
Mwanangu jilaum mwenyewe kumtelekeza mke wako ukavamia uchafu. Utakufa kwa miwaya tokana na upumbavu na uroho wako.
 
Mkuu ya kwangu hukiiona huko.inaishia na 28
 
Jasiri haachi asili. Subiri muda upite tuone kama hutachepuka. Haya mambo hayana kujifunza hasa kichwa cha chini kikiwaka moto.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
......"Tuishi nao kwa akili"
 
s swalliiii langu vipi bado una kulaa au umeachana nae??
 
Mbona umeishia katikati? Hatima yako na LIMCHEPUKO lako ilikuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…