Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

jombaaa ndo umejua leo??? Mbona umechelewa sana......
Halafu umefanya kazi sana.... sasa dada mrembo unadganu asifanywe kwa nini??

Tena wengine wimawima.
 
siyo vizuri kumpa makavu nwenzio unaona sasa kalegea......
 
Lkn Kweli Mungu yupo jamani khaa!

yaani humu Duniani me na ke tuko karibia sawa kwa idadi.

mkitugawa kila mtu me yaani atapata wa kwake ke umri na lika lilelile.

Watu Billion 7- ke biliion 3.900. Na me billion 3.0002
Mnaona tuko karibia sawa.hapa ni Kila mtu na wake.
 
Hii ni hatari sana, una wivu mpaka kwa mchepuko. Utaitelekeza familia sasa hivi punguza wivu mkuu.

Kama umeamua kuchepuka chepuka tu , kuanza kumfuatilia mchepuko kama mke wako ni kutafuta msongamano wa mawazo.
 
Kama hukuwahi kula mke/demu wa mtu hautaamini kama na wako analiwa.
 
Back in time 2019 niliwahi pata tukio kama lako chief ila pia yule mwanamke hawezi nisahau katika maisha yake, sikumgusa wala ila moto aliopitia ilifika wakati nikawa ninamhurumia tu ila ndo ivo huwa sirudi nyuma tena
 
Siku zote mchepuko wako ni mchepuko wa wengine pia maana utakuta mchepuko anatafuta pesa na ndoa.
 
Acha uwoga wewe
 
Michango yenu inazidi nipa elimu bila kujali imekuja kwa lugha gani, yes nnakubaliana na nyie na haswa aliekemea uzinzi hapo juu, kwakweli tumuombe Mungu atuepushe na hii mitihani
Leo una akili, ila utashangaa mwenyewe unachepuka tena..

Usicheze na utamu wa nje... Maana unakutana na pisi Kali kuliko mke wako, pisi imefungasha huko nyuma, mwenyewee unaingia mtegoni.
 
Ahsante kwa ufupi wa story yako....
 
usijifariji, una miezi mingine mitatu ya kujisubirisha ili ukapime tena. usimguse wife wako kabla ya miezi hiyo kama unampenda yeye na watoto, utawaua.
 

Mwanamke yeyote ninayekutana naye nje ya ndoa yangu huwa nimeshajiwekea sheria. Kama amenikubali huku akijua nina familia basi atamkubalia mwanaume mwingine kama alivyonikubali. kwa hiyo ni ujinga kudhani kuwa uko peke yake.
 
Mapenzi yanakuwa magumu kwa sabab moja tu; WIVU WA WANAUME! siku wanaume tukikubali ukweli na hali kuwa hata wanawake wanahitaji kubadili ladha yan wanataman pia, tutachukulia hicho kiungo kawaida sana kama wahusika wacho na kuishi kwa usawazisho. tuache ubinafs na kuwekeza akili nyingi kwenye kiungo cha mtu mwingine! kwa maana mwanamke hata atembee na kijiji habadiliki kiungo mana utam uko kichwan mwa mwenzie sio kiungo. ila kiukweli waliooana wanakatisha tamaa kwa walioko nje kutaman kuoa/kuolewa. wamekuwa mifano hasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…