Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia

Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu,
Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android.

1. Number row on keyboard hamna.
2. Text massage app yao huwezi ku schedule message
3. Nikitaka kujua running apps yaani hadi ni click katika specific area very trickly na huwezi kuzi clear kwa pamoja.

In short apple complicates everything.


Wewe ndo incompetent! Tuachie wenye route na iphone.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] iphone inaududu mwingi sana sema wewe ni wa kitambo umechakaa mzeee ....Very easy to use iphone but very complex kwa watu wenye utoto mwingi maana inaitaji akili tulivu kufanya utoto kwenye iphone Over !!

Am out [emoji1787][emoji1787]
Nikisikia watu wanasema Iphone ni ngumu kutumia huwa nashangaa kweli kweli. Mbona ni rahisi kuliko eg Samsung zenye android? Mimi simu za android zimekaa kushoto sana.. halafu unnecessary wameweka vitu vingi visivyo na faida sana...
 
Dogo umepotea...
Kwani umeoleka?
Dyadyaa kwann usemee nimeolekaa?
Niliolekaa tangu mdaa, ila kwa sasa ndo naishi na shem wakoo.

Afu majukumu ya kutafuta maokotooo, yanafanya tupotee JF kwa muda.

Mic u mnoo [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Labda kwa manamba ya uongo uongo ila kwenye reality performances iphone ni moto wa kuotea mbali kaka sio iphone tu apple device ni next level chief
Next level kwa kitu gani mkuu?.
•••
Ninavyofaham walio wengi wenye hizo simu ni wale wa call, text and social medias tu!.

What's more or extra advantage than security ambayo hata sasa watu wamejua kuzichezea?.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] iphone inaududu mwingi sana sema wewe ni wa kitambo umechakaa mzeee ....Very easy to use iphone but very complex kwa watu wenye utoto mwingi maana inaitaji akili tulivu kufanya utoto kwenye iphone Over !!

Am out [emoji1787][emoji1787]
Yani hadi kutumia simu utumie akili
Nyinyi mbona wajinga hivyo
 
Back
Top Bottom