Kiufupi ni kama hiyo feature kwenye iphone keyboard bado ni complicated labda kama wameweza kufix kwenye matoleo yao ya hivi karibuni au utumie third party app
Nimejaribu kupitia Apple forums nimekutana na malalamiko kama haya.
Lakini hakuna solution iliyowekwa kwa ajili ya ufumbuzi wa hii changamoto. Badala yake nimeona mods wa Apple wameipiga lock uzi watu wasiendelee kulalamika.
Ila ukitaka kujua kuwa hili ni tatizo common kwenye Iphone angalia hii screenshot hapa chini inaonesha idadi ya watu waliounga mkono uzi wa mtoa mada kwa kuonesha kuwa tatizo hilo pia hata wao wanali experience.
View attachment 2798961