mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Pole sana [emoji16]
pole ya nini[emoji16][emoji16].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana [emoji16]
Kitu nimegundua watu wengi WA apple huwa wanatoka kwenye infinix ,Tecno itel za TSH 500,000/= kushuka chini na hizo ni simu za ovyo zinatengenezwa Kwa ajili ya Afrika tu.binafsi Mimi namiliki Samsung A54 NI kama maduka mengi niliuliza zilikuwa 1200,0000/= lakin nlichukuwa 950,000/= ambapo NI simu ya Kati nzur sasa check picha yake apa chini afu uniambie ukinunua ya M2+ itakuaje.View attachment 2800837
Udugu ban ya nn tenaa? [emoji24][emoji24][emoji24]
Apple ndio walianzisha ujinga wa kuondoa SD card slots na audio jack.
Simu zao ni kama jela fulani hivi.
Hizi simu zina addiction..
nilipoteza 1
Nikapewa ka infinix nitumie, huwezi amini nilikuwa nasumbuka katika matumizi.
Nikamrudishia mwenye nayo, nikatumia kitochi..
watu wa iphone wanapoteseka ni kwenye mziki, spotify 6900, audiomack ni ya hovyo sana....
bora nibaki android niendelee kupirate mziki
SAHIHI, unakosa uhuru wa kufanya baadhi ya mambo
Unatumia apple music?
2014 mwishoni nilioga iphone, nilitumia siku tatu nikaiuza nusu bei baada ya kukataa kuunga bluetooth na redio ya gari, tokea siku hiyo ni mimi na android
Unatumia apple music?
Bado hujafuta ukweli kwamba Apple ndio kaanzisha, hata kama hao wengine wamefuatisha, na wao wamefuatisha ujinga walioanzisha Apple.Apple Kuanzisha sio sababu kwa wengine kuacha kuweka SD card slots japo Android sehem kubwa wanamuiga
Bado hujafuta ukweli kwamba Apple ndio kaanzisha, hata kama hao wengine wamefuatisha, na wao wamefuatisha ujinga walioanzisha Apple.
Watanzania wengi kama wewe mna matatizo ya kutoweza kusoma kwa ufahamu.Pole sana yaani ujue huu ni ujinga bado uufuatishe? Kuwa na msimamo wa kubaki tofauti kama kuliko kuiga huo unaouita ujinga.