Nilichokikuta kwenye iPhone sicho nilichokitarajia



Wewe ndo incompetent! Tuachie wenye route na iphone.
 
Nikisikia watu wanasema Iphone ni ngumu kutumia huwa nashangaa kweli kweli. Mbona ni rahisi kuliko eg Samsung zenye android? Mimi simu za android zimekaa kushoto sana.. halafu unnecessary wameweka vitu vingi visivyo na faida sana...
 
Dogo umepotea...
Kwani umeoleka?
Dyadyaa kwann usemee nimeolekaa?
Niliolekaa tangu mdaa, ila kwa sasa ndo naishi na shem wakoo.

Afu majukumu ya kutafuta maokotooo, yanafanya tupotee JF kwa muda.

Mic u mnoo [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Labda kwa manamba ya uongo uongo ila kwenye reality performances iphone ni moto wa kuotea mbali kaka sio iphone tu apple device ni next level chief
Next level kwa kitu gani mkuu?.
•••
Ninavyofaham walio wengi wenye hizo simu ni wale wa call, text and social medias tu!.

What's more or extra advantage than security ambayo hata sasa watu wamejua kuzichezea?.
 
Yani hadi kutumia simu utumie akili
Nyinyi mbona wajinga hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…