Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

Mie naona ujiue tu maana hata utakempata mwingine utamdukua na utakuta makubwa zaid ya hayo baba, kosa ulilofanya ni udukukuzi hakuna mdukuzi wa simu ya mwenza wake anaekuta usalama kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukihack mpenzi wako jiandae kwa majanga.. usimdukue mtu unaempenda hata siku moja.
 
Tunda lako? Mti umeupanda wewe?

Ebo! Unataka kummiliki mtu? Binadamu? Mwenye utashi wake binafsi? Mwenye asili ya kujijali yeye mwenyewe kabla ya kumjali mtu mwingine yeyote?

Futa hiyo concept ya mtu wangu / tunda langu.

Wewe unaweza ukawa wake in your silly brain lakini there is no way unaweza kumforce yeye akawa wako with an exception being by contract of marriage.
 
Pole sana Mkuu kwa yaliyokupata, ni vizuri ukapima afya kama ulivyo sema, pia unaweza kuachana na huyo Mchumba wako kama kweli una ushahidi wa kutosha kuwa si mwaminifu, kabla ya kutuma ujumbe uwe unausoma ili kusahihisha ulipokosea.
 
Kuna huyu rafiki yangu tulikua pamoja ,tukawa tunasali pamoja. Yeye akawa mfanyabiashara mimi nikiwa bado nasoma,maana yeye allishia form 4 na mimi nilendelea hadi chuo. Nilipopata kazi akanifuata akaniambia anapata faida kubwa sana kwenye biashara zake na angetamani mimi kama rafiki yake nimpe hela aongeze mtaji then tuwe tunagawana faida. Nakumbuka mkopo wangu wa kwanza kazini mwaka 2003 shilingi 1,700,000 nikampa hela hiyo yote ya mkopo nikiamini nitapata faida, kwa kuwa niliamini rafiki yangu hawezi kuwa na nia mbaya. Baada ya kumpatia tu akkaanza ku report matatizo mbalimbali ya biashara yake. hadi leo hii hajawahi nirudishia hiyo hela wala kupata mgao wa faida ,kila siku yeye anapata hasara. Kiasi Fulani imevuruga urafiki kwa kuwa yale mazoea ya kutembelana yamekata. Kuanzia hapo sitaki urafiki wa hela
 
Relationship can lead into two things, Marriage or heart break do not start what you can not finish......then nenda kajifunze uandishi mzuri [emoji52]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Paragraphy ya mwisho tu ndo la maana, hayo mengine utajua mwenyewe! Mwanamke unayemhudumia akienda kuliwa kapime, Halafu kama ni Mkristo kale kitimoto, nunua Cigar Hata kama uvuti, vuta mara moja kama ishara ya kuanza kuvuta, Halafu itupe And zao I quit smoking kama ishara ya kuacha na huyo mwanamke!
 
Nadhani ulikuwa na malengo ya huo udukuzi wako.so majibu yote uliyokuwa unayatafuta umeshayapata.ni wewe mwenyewe mwenye maamuzi.
 
We uliamua kulazimisha kuwaelewa wanawake unaona sasa unakaribisha magonjwa ya uzeeni, wanasema "ukiona unaanza kuwaelewa wanawake ujue umekaribia kufa"
 
Mkuu nisaidie hiyo app nami nidukue wakwangu serious mkuu
 
We Samweli achana na huu ujinga utajitafutia huzuni usiyokuwa nayo, utakutana na sms inayo cost sh 50 ikachukua afya yako yote
mkuu mimi nipo tayari sintapata huzuni ucjali kabisa ni nachotaka ni Uhakika mkuu
 
Mimi sioni kama hadi sahivi unastahiri kuwa nae alikuwa wako zamani boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…