Nilichokiona jana kwa wachezaji wa Yanga

Poa mkuu,hayo malalamiko wekeni vizuri kwenye PDF muwatumie CAS hii ni hujuma
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]!umemskia eti Hadhani km Simba ni wazuri kuwazidi Yanga...!+
 
umechambua vizuri ila umesahau wakina Adeyum na mauya walipokuwa wakicheza hizo rafu siku mkicheza na Simba halafu refa anapeta mlikuwa mkiwasifia ila mkasahau CAF marefa sio wa kuokotwaokotwa njiani
 
Hebu tuambie wewe unaweza kucheza namba ngapi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…