Nilichokiona kwenye mahabusu hii ya polisi ni mateso. Criminal justice of Tanzania is cruel

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Masa 24 unalala kwenye sakafu.

Dhamana za polisi ni ngumu kupata.

Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria.

Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu.

Waziri yupo tu wala hafanyi ziara yoyote kukagua.

 
polisi humchelewesha mtuhumiwa kumpeleka mahakamani ili kutafuta maokoto
 
Kwa hiyo mnapendekeza Mahabusu ziwekwe magodoro,mablanketi nk??vikiwekwa hivyo vitu huko Mahabusu hakutakalika kutokana na harufu ya uvundo nk
 
Kwa hiyo mnapendekeza Mahabusu ziwekwe magodoro,mablanketi nk??vikiwekwa hivyo vitu huko Mahabusu hakutakalika kutokana na harufu ya uvundo nk
Kwa nini msinunue mashine za kufulia nguo? Kwa nini ukae na mahabusu zaidi ya wiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…