jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Siku nyingine ukikamatwa nenda na godoro lako, au lipia Mahabusu ya VIP upelekwe kule kuna vitu vyote utakavyo wwe!!Masa 24 unalala kwenye sakafu.
Dhamana za polisi ni ngumu kupata.
Mahabusu wanacheleweshwa kupelekwa mahakamani kinyume na sheria.
Sakafu ni baridi kanakwamba zimemwagiwa barafu.
Waziri yupo tu wala hafanyi ziara yoyote kukagua.
View attachment 2823183