Nilichokiona kwenye mahabusu hii ya polisi ni mateso. Criminal justice of Tanzania is cruel

Siku nyingine ukikamatwa nenda na godoro lako, au lipia Mahabusu ya VIP upelekwe kule kuna vitu vyote utakavyo wwe!!
 
Polisi ina nafasi yake nzuri kwemye moyo wa shetani.

Wana uhakika wa kufanya uhalifu kwa mujibu wa sheria. Wahalifu in uniforms
 
Nilidhani ulichokiona ni kipya!
 

Serikali mpya itakuwa na mengi ya kunyoosha. CDM wasikie.

V
 
Siku nyingine nunua maji makubwa, utayatumia kama sehemu ya kuegesha kichwa.
 
Kwa hiyo mnapendekeza Mahabusu ziwekwe magodoro,mablanketi nk??vikiwekwa hivyo vitu huko Mahabusu hakutakalika kutokana na harufu ya uvundo nk
Uzuri kule hakuna mwenyewe. Labda raisi sababu ana kinga.
 
Hiyo mbona ipo kitambo sana. Mahabusu nyingi za polisi hakuna cha kulalia. Ukiingia unajibanza zako kwenye kona au ukuta wa hicho chumba; ndiyo imeisha hiyo.
Tena ana bahati kaikuta Safi zingine ukiingia unakaribisha na kinyesi plus mikojo unakanyaga miguuni,
 
Tunahitaji kupaza sauti ,Huwa kulikuwa na kopo la mtondoo
 
Ulitaka mahabusu pawe pa kishua ili watoto wa mbwa wakapange foleni haraka haraka ya kwenda huko.
 
Ulitaka mahabusu pawe pa kishua ili watoto wa mbwa wakapange foleni haraka haraka ya kwenda huko.
Anataka Mahabusu iwe kama ghetto lake la kitaani,mwisho ataomba Mahabusu kuwe na mademu wa kupiga massage pia! Haki za binaadamu zina mengi sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…