Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

Wangechaguliwa wanaume tupu usingesema hayo
Unajua,shida ni kwamba you do not know what is going on behind the curtain regarding the family,ungejua usingesema hayo maneno.So that you can educate yourself on what is going on against the family, nime-attach material for further reading.Nadhani hii itakusaidia kujua plans of the enemy against our families.
 
Ha haa mkuu nimependa hiyo salamu yako kwa wababa
Hivi wewe hutaki familia nzuri na imara?Unajua,shida ni kwamba you do not know what is going on behind the curtain regarding the family,ungejua usingesema hayo maneno.So that you can educate yourself on what is going on against the family, nime-attach material for further reading.Nadhani hii itakusaidia kujua plans of the enemy against our families.Wote tunahitaji kuungana ili kuzuia hii nguvu kubwa inayotumika kuharibu familia,and this is especially evident in Tanzania now.
 
Mkuu swala hili sio langu peke yangu,ni swala la binadamu wote,kwa hiyo na wewe linakuhusu.Nia ya yote haya unayo yaona na yale uliyoshuhudia jana Dodoma ni kuharibu familia na jamii kwa ujumla.Hata wewe nadhani una familia na kama wewe huna ndugu zako wana familia.Would you like those families to be destroyed? Surely no.

Lakini agenda hii haishii kwenye kuharibu familia tu,it goes further:total control of the human race by Satan.Why will this possible,it will be possible because a morally corrupted person is easy to subject to Satanic control,and to achieve this Satan uses the family.Destroy the family and you are able to corrupt everybody.
 
Demokrasia zilizopevuka it is a relative term, maana hakuna universal agreement of what is democracy
 
Demokrasia zilizopevuka it is a relative term, maana hakuna universal agreement of what is democracy
Uko sahihi kabisa mkuu,infact mimi naita the word Democracy an empty word,to me halina maana yeyote.It's a con word introduced to cheat the unsuspecting masses.
 
Uko sahihi kabisa mkuu,infact mimi naita the word Democracy an empty word,to me halina maana yeyote.
Mkuu umeniwahi maana Hili Jambo nilikuwa nataka kulizungumzia kuhusu uchaguzi wa Viongozi wakuu wa chama na demokrasia ya uchaguzi kwa ujumla wake.

Kwa kipindi cha pili sasa viongozi wetu wakuu wa chama kitaifa wamekuwa wakipita bila kupingwa. Kibinadamu ni furaha kubwa inayotia moyo.

Lakini nje ya furaha hiyo inaweza kuficha ukweli kutegemea na wapiga kura wanavyo andaliwa kisaikolojia na kuficha uhalisia wao.

Huu ni ukweli mchungu, lakini tukubaliane kwamba dawa nyingi zinazotibu huwa hazina ladha tamu.

Asili na uhalisia wa tabia za binadamu huongozwa na fikra mbili. Njema na ovu. Tabia ya uovu ni kujificha, Tabia ya wema hujiweka wazi. Wema na uadilifu haushawishiwi. Uovu unachoangalia ni maslahi binafsi.

Ndiyo maana katika mifumo ya uongozi tunatumia sheria kwa nia ya kulinda yaliyo mema.

Nia na lengo la kufanya uchaguzi huru na wa kidemokrasia ni kupima pande mbili. Kupima Kiongozi anakubalika kwa kiasi gani. Pili ni kupima wapiga kura uelewa wao na nini wanataka.

Kadiri watu wanavyochagua Viongozi wasiokidhi ndivyo inavyodhihirisha mapungufu ya kimtizamo na kielimu kwa jamii husika. Kutomudu mazingira ya siasa. Na hiyo ndiyo changamoto kubwa Africa.

Hivyo ingawa demokrasia ni Muhimu sana lakini inakuwa na maana pale ambapo wapiga kura wanakuwa na upeo wa kujua wanachotaka na wanachotakiwa kufanya. Kisha kutumia uhuru wao bila kushawishiwa kuchagua wanachotaka.

Siasa ni ushawishi ambao wakati mwingine ukiwa na malengo mabaya unaweza kupotosha jamii yenye upeo wa uelewa hafifu.

Kwasababu hiyo ni vyema pakawepo chombo huru cha kupima mwelekeo wa siasa katika vyama vyote. Hii itasaidia sana kulinda maslahi mapana ya Taifa.

Kuhusu hoja ya kupita bila kupingwa hii ni hoja yenye ukweli wenye mashaka ndani yake kutegemea idadi ya wingi wa wapiga kura na mbinu iliyotumika hasa ya kampeni kabla ya uchaguzi. Hii ni kwasababu hata kwenye mitihani ya shule ufaulu wa wanafunzi hutofautiana, kwasababu ya uelewa na mtizamo.

Kama nilivyokwisha kueleza lengo la uchaguzi ni kupima wapiga kura na mgombea.

Unapokuwa hujui ukweli na uhalisia wa wapinzani wako katika Taasisi husika unakuwa unafanya kazi pamoja na kundi kubwa lenye mwelekeo tofauti. Lakini ukijua ni kiasi gani unakubalika na kiasi gani haukubaliki.

Hii inakupa nafasi ya kufanyia kazi mapungufu husika. Hii inaendana na tabia ya kuwa tayari kukosolewa imradi wakosoaji wanatumia nidhamu sambamba na kutoa ushauri badala ya kuwa wapinzani wa kila Jambo. Lengo kuu ni kujenga msingi bora na imara kwa pamoja kuanzia mwanzo.

Kiongozi akijengeka kuwa tayari kusikiliza yale tu yanayomsifia ategemee kudanganywa mara nyingi kadiri iwezekanavyo. Hii ni kwasababu Sifa hulewesha moyo. Utasifiwa na wema maadui wakijua unapenda sifa nao watakusifia. Hilo hatupendi lizoeleke kwa Viongozi wetu. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Gender equality does not mean favoring women, but availing equal opportunities to both men and women without compromising professionalism. "Kinyume cha hapo ni uhuni mtupu".
 
Gender equality does not mean favoring women, but availing equal opportunities to both men and women without compromising professionalism. "Kinyume cha hapo ni uhuni mtupu".
100% correct.Kinacho endelea sasa ni ku-favour women mkuu.Very sad.
 
Uko sahihi kabisa mkuu.Kwangu mimi "democracy" is a con word introduced to cheat the unsuspecting masses.
 
Mheshimiwa, umepigwa chini au! Hiyo minyukano ndani ya CCM inatuhusu Watanzania wote, hata sisi tusio na vyama, au ni nyinyi wenyewe tu makada wa CCM?

Pole sana kama umeangukia pua.
Wewe huoni kama nchi imeshikiliwa na utawala wa ccm?, lolote linalofanywa na ccm hata kama ni la kipumbavu wewe linakuhusu ,labda kama weww sio mtanzania,
 
Naunga mkono hoja,hakuna linalofanywa na ccm lisiloihusu nchi hii,
 
Uko sahihi kabisa mkuu,infact mimi naita the word Democracy an empty word,to me halina maana yeyote.It's a con word introduced to cheat the unsuspecting masses.
Kwako kwa maana ya mtazamo wako ni sawa, ila haimaanishi kuwa ni demokrasia. Na ndio maana nikasema it is a relative term kutokana na mtizamo binafsi.
 
Tulipokuwa sekondari tulifundishwa democracy is the dictatorship of the mass kwa maana ya kuwa wengi wakikubaliana jambo liwe hiyo ndio demokrasia. Kwa hiyo katika vyama wengi wakikubaliana waweke jina moja la mgombea hiyo inakuwa demokrasia yao, hatuwezi kusema hakuna demokrasia kwasababu kuna mgombea mmoja.
Wakiamua pawe na majina mawili hiyo ndio demokrasia ya, wakikubaliana yawe kumi hiyo ndio demokrasia yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…