Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

Anaishi ulimwengu wake wa pekee huyu nutcase.
Inawezekana hata ni wale wanaoamini dunia sio duara.
Yaani wewe kila upuuzi kuanzia conspiracy theories zako za kupumbavu juu ya Corona unawasingizia Wazungu, trash.
 
Be more diagnostic and exploratory mkuu.Mimi siangalii tukio moja,naangalia mtiririko wa matukio na kuanisha na taarifa mbali mbali .
Mzee hebu yataje hayo matukio.
1. Kwenye CC wanawake wapo watatu tu kati ya wajumbe 26+
2. Kwenye NEC wapo wajumbe 160+ waliochaguliwa ni 2 tu. Je, kwenye hao 160+ wanawake wapo wangapi!?
3. Katika kujieleza namba 2,3 na 5 walijikanyaga na kupoteza muda kutoa sifa ambazo hazina maana.
4. Dada namba 4 alieleza kwa kifupi na kueleweka. Dada namba 6 alieleza uzoefu wake alipokuwa akisoma Urus.

Sasa wewe ungeletewa hao ungemchagua nani!? Maana mwingine anajisifu kuwa amezaliwa maeneo makamu wa rais aliko zaliwa.
 
Ndugai: Tulikubaliana 50 - 50 lakini Wanawake wamepata 100

Wanaume wote wakapiga makofi pwa....pwa....pwa...!

Bawacha oyeeee!
Na Sheria kama ile ya kukonyezana naiona iko mbioni kutekelezwa Kama akina mama watu wazima hawatatumia busara ,
.
 
hakuna ubaya wowote,ingekuwa kubeba zege ungelalamika?
 
Nyalandu alikua CCM na amerudi CCM it's not a loss because it was forecasted months ago!! Of course Lissu was favored over him therefore journey back to CCM became imminent!!

Had a hardcore opposition such as Heche or Wenje, and the likes defected to CCM... That would've sent shockwaves all over ufipa.

Being optimistic I suppose it's a wonderful step that CHADEMA composes of only hardcore, battle-tested, comrades who have no attachments with the green party!!

Filtration process is a positive move for all democracy lovers, including YOU.
Slaa hakuwa hardcore?
 
Matatizo katika chama tawala katika nchi yenye upinzani dhaifu ni matatizo ya uongozi wa taifa.

Sijui usahihi wa hoja ya mleta mada, lakini nakwambia hutakiwi kudharau matatizo ya uongozi katika CCM, kwa kusema wewe si mwana CCM.

Kwa sababu, sera za CCM ndizo zinaongoza taifa. Wana CCM ndiyo viongozi wa taifa.

Kama CCM wezi, unaweza kusema hilo si tatizo lako kwa kuwa wewe si mwana CCM, wakati wao ndio wanapanga bajeti na kupitisha mikataba?
Nimetembelea tovuti ya BBC swahili nikaona wameandika SSH ameshinda kwa asilimia 100 uwenyekiti. Nikajiuliza kwa karne hii yenye wasomi wengi wenye maarifa mengi kuna ushindi wa hizo asilimia dunia ya sasa unaweza kupatikani.

Nikakumbuka haya maajabu wa Africa ndio wanayaweza tuu hakuna wengine
 
Mkuu nikuambie nini,Mama Samia kusimikwa kuwa Rais amewasha moto,kama kuna mwanaume ambaye halioni hili,ni kipofu.Wanaume tujiandae yajayo yanafurahisha.

And then nashangaa,kuna mijianaume sijui mijianaume gani,inapigia makofi hatari!Ni ajabu sana.
Hatari gani jamani
 
Nimetembelea tovuti ya BBC swahili nikaona wameandika SSH ameshinda kwa asilimia 100 uwenyekiti. Nikajiuliza kwa karne hii yenye wasomi wengi wenye maarifa mengi kuna ushindi wa hizo asilimia dunia ya sasa unaweza kupatikani.

Nikakumbuka haya maajabu wa Africa ndio wanayaweza tuu hakuna wengine
Ushindi wa 100% ni ushindi wa aibu, watu watatilia shaka uthabiti wa mchakato uliotumika.

Kwanza suala zima la mtu mmoja kugombea uenyekiti linaonesha uchaguzi huu ni magumashi tu.
 
Mambo haya hayaeleweki kwa wengi.

Bahati mbaya sana tunafanya mambo lakini hatujui athari zake.

Labda ni kwa sababu ya mambo tulioingia au tuliyomo hatuwezi tena kujifunza.

Anaeamini au kufikiri kwamba mwanamke au wanawake hawawezi uongozi, siasa au kufanya vema, anafikiri kimakosa au imani yake ni potofu.

Mimi sitaki kujadili hilo kwa sababu ushahidi upo mwingi katika historia ya mtu popote duniani.

Muhimu si nani anaweza kufanya vema kati ya mwanaume na mwanamke, bali MAJUKUMU ya mwanaume na mwanamke ndio muhimu.

Hawa wawili: mwanamke na mwanaume, kila mmoja ana majukumu yake.

Asili imemweka mwanaume afanye majukumu haya na mwanamke afanye majukumu haya. Kinachotokea wakati wetu hiyo hali inaharibiwa.

Hapa kwenye majukumu ndipo kosa lilipo. Kimsingi ni kwamba sheria ya maumbile imeingiliwa.

Sijui kama ni suala la utafiti au namna gani.

Madhara ya hili jambo ni makubwa na hatari kwa ustawi.

Hapa wanawake wa kiafrika si wa kulaumiwa kwa sababu wanaume wa kiafrika wameshindwa kutimiza wajibu wao.

Sheria ya maumbile imemweka mwanaume kama ndiye mtengenezaji wa MFUMO kati ya majukumu yake mengi. Hili wanaume wa kiafrika hawatekelezi.

Kwa makosa haya ya kuingilia sheria ya maumbile inayoweka majukumu ya mwanamke na mwanaume, angalia familia zetu zilivyo, angalia jamii ilivyo!

Kwanini familia zimeharibika? Kwanini jamii imeharibika? Katika mazingira haya ni kweli kwamba kuna uchumi au maendeleo?

Mtafiti mmoja huko Ufaransa alifanya utafiti kwanini Marekani ni taifa kubwa duniani. Katika utafiti wake alihitimisha kuwa Marekani ni taifa kubwa kwa sababu lina "MAADILI."

Sheria ya maumbile ambayo kwayo tunapata majukumu ya mwanaume na mwanamke ni wakati huo huo maadili.

Kuingilia sheria ya maumbile ni kuingilia maadili.

Bila maadili hakuna malezi; wala ustawi wa watu.
 
Hadi sasa najaribu kuelewa huu uzi una ujumbe gani kwa sababu mleta mada akuandika kwa kudhani kila mtu katazama/fuatilia mkutano wa CCM.

1. Wanawake hawapaswi kuwa viongozi?

2. Kuna ajenda mpya imepitishwa na CCM kuweka mgawanyo sawa wa madaraka kati ya wanaume na wanawake?

3. Kuna maneno yasiyofaa yaliyotamkwa na wanawake kwenye vikao vya CCM?
 
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"

Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania ikifitinika, nimeona mafarakano ya wazi kati ya Wanawake na Wanaume, mafarakano ambayo si ya afya kwa taifa letu. Nilitegemea kwamba ujio wa Rais mwanamke, Mama Samia Suluhu, ungeleta umoja, badala yake naona mbegu za minyukano zikipandwa. Ni kama wenzetu wanawake walikuwa wanasubiri nafasi hii, ili waendeleze minyukano zaidi, ambayo kiukweli tayari ilikuwepo.

Sijui kama it's mere coincidence kwamba katika wagombea sita wa kujaza nafasi za NEC, waliochaguliwa kujaza nafasi hiyo, wote ni wanawake! Mimi naamini sio coincidence, bali ndio minyukano kati ya Wanaume na Wanawake imeanza. Maneno aliyotamka Mama Kabaka Mwenyekiti wa UWT, wakati anatoa hotuba ya kumtunuku Rais zawadi,yanathibitisha hili.

Upo ushahidi wa kutosha, kwamba minyukano hii inahamasishwa na kupewa financial support and backing na nguvu zilizo-jificha za nchi za magharibi through NGOs, vyombo vya habari, mitandao, internet na hata wakati mwingine makampuni ya simu, ili kuvunja familia na ustawi wa jamii yetu kwa maslahi mapana ya nchi hizo.Na kama hatutakuwa makini kama taifa,baada ya miaka kumi ijayo, familia zetu na jamii vitakuwa vime-sambaratika kabisa.

Mimi sina shaka yeyote kwamba kuchaguliwa wanawake tupu kwenye kinyang'anyiro hicho kumewezekana kwa kuwa wajumbe wengi waliohudhuria ni Wanawake. Lakini je, kuchaguana kijinsia kuna tija kwa taifa letu? Ukweli ni kwamba hapana, kwa kuwa hii ita-compromize kwa kiwango kikubwa weledi na hii ni hatari kwa wa ustawi wa Taifa letu.

Lipo wazo la kugawana madaraka 50/50. Kwa nini kuwe na target ndilo jambo linalokera. Linakera kwa kuwa likely-hood ya ku-compromize weledi ili kua-chieve target is obvious. Hili nimeliona sehemu nyingi sana. Infact hata leo kule Dodoma jambo hili limejionyesha wazi. Who knows, labda katika wale wagombea wanaume walio-achwa, some are more competent than the ladies elected.

Sina tatizo na wanawake kupewa responsible positions, naomba nieleweke, nina tatizo na ku-compromize professionalism at the expence of gender equality. Our main target should be professionalism, not gender equality.

Nafurahi kwamba wapo wanawake wanao-jitambua, ambao hawataki kupewa nafasi yeyote as a reward, wanapenda kupewa nafasi kwa kuwa wanastahili. Ningependa huu ndio uwe msimamo wa wanawake wote. Tuache professionalism iwe ndio kigezo pekee cha mtu kupata nafasi yeyote anywhere. Minyukano hii inayo-endelea sasa kwa sababu ya kuganga njaa, sio healthy sana, tutangulize mbele kwanza maslahi ya Taifa letu.

Ili uweze kupata.picha kamili ya kile kilichotokea Dodoma leo na kwa nini kimetokea,tafadhali fuata link ifuatayo.Hii ni vita kamili dhidi ya familia,and the sooner we realize that and do something about it the better.

Mwanamke ni mwanamke, hawezi sumbua mwanaume. Ndio iko hivyo ondo shaka
 
Unajua Zitto,mimi huwa namuona mtu anaye lable mambo kuwa ni conspiracies kuwa ni mind controlled, indoctrinated and enslaved by the West or if you want the NWO,kwa kuwa watu wa NWO au agents wao ndio wanao-lable mambo kwamba ni conspiracies ili wafiche uovu wao.Tania ya kuita mambo conspiracies ni characteristic moja wapo ya watu kama hao,zipo nyingi.
Kwahiyo tukubaliane kuwa JPM alitumika na mabeberu wa NWO ili kuteua wanawake kuwa second in command kwenye mhimili wa Bunge na Serikali kuu?

Ama nani aliowa teua hapo kma sio Mwenyekiti wa CCM?
 
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"

Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania ikifitinika, nimeona mafarakano ya wazi kati ya Wanawake na Wanaume, mafarakano ambayo si ya afya kwa taifa letu. Nilitegemea kwamba ujio wa Rais mwanamke, Mama Samia Suluhu, ungeleta umoja, badala yake naona mbegu za minyukano zikipandwa. Ni kama wenzetu wanawake walikuwa wanasubiri nafasi hii, ili waendeleze minyukano zaidi, ambayo kiukweli tayari ilikuwepo.

Sijui kama it's mere coincidence kwamba katika wagombea sita wa kujaza nafasi za NEC, waliochaguliwa kujaza nafasi hiyo, wote ni wanawake! Mimi naamini sio coincidence, bali ndio minyukano kati ya Wanaume na Wanawake imeanza. Maneno aliyotamka Mama Kabaka Mwenyekiti wa UWT, wakati anatoa hotuba ya kumtunuku Rais zawadi,yanathibitisha hili.

Upo ushahidi wa kutosha, kwamba minyukano hii inahamasishwa na kupewa financial support and backing na nguvu zilizo-jificha za nchi za magharibi through NGOs, vyombo vya habari, mitandao, internet na hata wakati mwingine makampuni ya simu, ili kuvunja familia na ustawi wa jamii yetu kwa maslahi mapana ya nchi hizo.Na kama hatutakuwa makini kama taifa,baada ya miaka kumi ijayo, familia zetu na jamii vitakuwa vime-sambaratika kabisa.

Mimi sina shaka yeyote kwamba kuchaguliwa wanawake tupu kwenye kinyang'anyiro hicho kumewezekana kwa kuwa wajumbe wengi waliohudhuria ni Wanawake. Lakini je, kuchaguana kijinsia kuna tija kwa taifa letu? Ukweli ni kwamba hapana, kwa kuwa hii ita-compromize kwa kiwango kikubwa weledi na hii ni hatari kwa wa ustawi wa Taifa letu.

Lipo wazo la kugawana madaraka 50/50. Kwa nini kuwe na target ndilo jambo linalokera. Linakera kwa kuwa likely-hood ya ku-compromize weledi ili kua-chieve target is obvious. Hili nimeliona sehemu nyingi sana. Infact hata leo kule Dodoma jambo hili limejionyesha wazi. Who knows, labda katika wale wagombea wanaume walio-achwa, some are more competent than the ladies elected.

Sina tatizo na wanawake kupewa responsible positions, naomba nieleweke, nina tatizo na ku-compromize professionalism at the expence of gender equality. Our main target should be professionalism, not gender equality.

Nafurahi kwamba wapo wanawake wanao-jitambua, ambao hawataki kupewa nafasi yeyote as a reward, wanapenda kupewa nafasi kwa kuwa wanastahili. Ningependa huu ndio uwe msimamo wa wanawake wote. Tuache professionalism iwe ndio kigezo pekee cha mtu kupata nafasi yeyote anywhere. Minyukano hii inayo-endelea sasa kwa sababu ya kuganga njaa, sio healthy sana, tutangulize mbele kwanza maslahi ya Taifa letu.

Ili uweze kupata.picha kamili ya kile kilichotokea Dodoma leo na kwa nini kimetokea,tafadhali fuata link ifuatayo.Hii ni vita kamili dhidi ya familia,and the sooner we realize that and do something about it the better.

Kwa hiyo wanaume we are like..
FB_IMG_1619640921815.jpg
 
Mheshimiwa, umepigwa chini au! Hiyo minyukano ndani ya CCM inatuhusu Watanzania wote, hata sisi tusio na vyama, au ni nyinyi wenyewe tu makada wa CCM?

Pole sana kama umeangukia pua.
Huyu ni kati ya hawa wawili kama sio Polepole ni Bashiru
 
Acha kuwaonea donge wamamangwa weweee. Angelia mamio usingefurahi? Acha kukumbatia mfume dume. by the way hao wanaume halo awali maajab gani wamefanya?!!!
 
Mheshimiwa, umepigwa chini au! Hiyo minyukano ndani ya CCM inatuhusu Watanzania wote, hata sisi tusio na vyama, au ni nyinyi wenyewe tu makada wa CCM?

Pole sana kama umeangukia pua.
Kila mtanzania anaathirika/ataathirika chanya au hasi kwa matendo yoyote mabaya au mazuri ya CCM. kwa maana ya chama tawala...vivyo hivyo ingekuwa chama tawala Ni TADEA.... Iwe kwa mambo yanayoitwa ya ndani ya chama au nje ya chama. Hakuna namna ya kukwepa hilo.

Ni sawa na mtu akikwambia siasa hazimsaidii wala kumdhuru kwa namna yoyote ile.... Si sawa hata kidogo
 
Back
Top Bottom