Nilichokiona leo Dodoma hakina afya kwa mustakabali mzima wa ustawi Taifa letu, tujirekebishe kwa maslahi mapana ya Taifa

Wangechaguliwa wote wanaume ungeandika haya uliyoyaandika?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Read between the lines,utanielewa.

Bado naona unaendeleza minyukano.Anyway,
wanawake hamna budi kujitambua,the path that you have choosen is dangerous.Hii confrontational stance against man haitawasaidia sana,at most it will destroy the family establishment.Most important of all ni uasi dhidi ya Mungu.
 
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"

Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania ikifitinika, nimeona mafarakano ya wazi kati ya Wanawake na Wanaume, mafarakano ambayo si ya afya kwa taifa letu. Nilitegemea kwamba ujio wa Rais mwanamke, Mama Samia Suluhu, ungeleta umoja, badala yake naona mbegu za minyukano zikipandwa. Ni kama wenzetu wanawake walikuwa wanasubiri nafasi hii, ili waendeleze minyukano zaidi, ambayo kiukweli tayari ilikuwepo.

Sijui kama it's mere coincidence kwamba katika wagombea sita wa kujaza nafasi za NEC, waliochaguliwa kujaza nafasi hiyo, wote ni wanawake! Mimi naamini sio coincidence, bali ndio minyukano kati ya Wanaume na Wanawake imeanza. Maneno aliyotamka Mama Kabaka Mwenyekiti wa UWT, wakati anatoa hotuba ya kumtunuku Rais zawadi,yanathibitisha hili.

Upo ushahidi wa kutosha, kwamba minyukano hii inahamasishwa na kupewa financial support and backing na nguvu zilizo-jificha za nchi za magharibi through NGOs, vyombo vya habari, mitandao, internet na hata wakati mwingine makampuni ya simu, ili kuvunja familia na ustawi wa jamii yetu kwa maslahi mapana ya nchi hizo.Na kama hatutakuwa makini kama taifa,baada ya miaka kumi ijayo, familia zetu na jamii vitakuwa vime-sambaratika kabisa.

Mimi sina shaka yeyote kwamba kuchaguliwa wanawake tupu kwenye kinyang'anyiro hicho kumewezekana kwa kuwa wajumbe wengi waliohudhuria ni Wanawake. Lakini je, kuchaguana kijinsia kuna tija kwa taifa letu? Ukweli ni kwamba hapana, kwa kuwa hii ita-compromize kwa kiwango kikubwa weledi na hii ni hatari kwa wa ustawi wa Taifa letu.

Lipo wazo la kugawana madaraka 50/50. Kwa nini kuwe na target ndilo jambo linalokera. Linakera kwa kuwa likely-hood ya ku-compromize weledi ili kua-chieve target is obvious. Hili nimeliona sehemu nyingi sana. Infact hata leo kule Dodoma jambo hili limejionyesha wazi. Who knows, labda katika wale wagombea wanaume walio-achwa, some are more competent than the ladies elected.

Sina tatizo na wanawake kupewa responsible positions, naomba nieleweke, nina tatizo na ku-compromize professionalism at the expence of gender equality. Our main target should be professionalism, not gender equality.

Nafurahi kwamba wapo wanawake wanao-jitambua, ambao hawataki kupewa nafasi yeyote as a reward, wanapenda kupewa nafasi kwa kuwa wanastahili. Ningependa huu ndio uwe msimamo wa wanawake wote. Tuache professionalism iwe ndio kigezo pekee cha mtu kupata nafasi yeyote anywhere. Minyukano hii inayo-endelea sasa kwa sababu ya kuganga njaa, sio healthy sana, tutangulize mbele kwanza maslahi ya Taifa letu.
We acha hizo!
 
WABABA TUSALIMIANE KWA JINA LA JMT....Kazi ina Endelea. Duh? sasa hii inaitwa watawanye ili uwatawale. Sasa hawa wamama wameamua kututawanya wa baba ili tutawaliwe vizuri. Sasa tutegemee CDF..., IGP.., JAJI MKUU.. PM, Ma RC, MaDc, n.k wasaidizi wa vitengo kwa uchache watakuwa wababa kwa mbaaaaali.
Haya mambo nimekuwa nikiyatazama kwa muda mrefu kwa jicho la mashaka sana. Na sasa nimeanza kuamini nilikuwa sahihi kuwa na doubt.

Kama taifa linakuwa na watu wanaovaa nguo za kiume, na kujitambulisha kuwa ni wanaume kisha kauli na mienendo yao si ya kiume ni wazi bila shaka tunajenga picha kuwa taifa linapoelekea sipo.

Sasa hebu jaribu kuimagine namna ambavyo tumechelewa kama taifa kimaendeleo halafu sasa tunaanza misuguano ya kijinsia.

Why kwanza tuna mijadala ya kijinsia katika platform za maendeleo. No wonder hata familia zinavurugika now days sababu ya huu ufala..... Anyways bado somo halijaeleweka tusubirie kidogo ndipo tutajua why wazee wetu zamani walikuwa hawana shobo na wanawake inapokuja swala la uongozi na maamuzi ya mwisho.

Bado kidogo.
 
Wala sikuwa mgombea mkuu,nilikuwa nyumbani nafuatilia mkutano.

Ila kilichotokea Dodoma ni kitu ambacho kila anaye-itakia mema nchi yetu,anapaswa kukilaani kwa nguvu zake zote kwa kuwa sio kizuri kwa mustakabali wa Taifa letu.
Kabisa...
 
Mbona wanaume wametawala muda mrefu na tumefika tulikofika? Tuwape nafasi waoneshe uwezo.
 
Hii ni attitude mbaya sana.Kwa nini mawazo yetu yanafikiria in terms of men and women as unrelated entities.Hii ni shida kubwa.Solution ni kuangalia community issues collectively, and who is suited best for what role for the collective advancement of our families,community and nation.Hii tabia ya kuangalia men and women as independent entities ni mbaya na itatufikisha pabaya.
 
WABABA TUSALIMIANE KWA JINA LA JMT. Kazi ina Endelea. Duh? sasa hii inaitwa watawanye ili uwatawale. Sasa hawa wamama wameamua kututawanya wa baba ili tutawaliwe vizuri. Sasa tutegemee CDF..., IGP.., JAJI MKUU.. PM, Ma RC, MaDc, n.k wasaidizi wa vitengo kwa uchache watakuwa wababa kwa mbaaaaali.
Aise,umeiweka vizuri,ila kwa utani utani hivii....👊.
 
Mkuu, itabidi tu ukubali msemo:'The gin is out of the bottle".

Tafuta tu njia za kuishi nalo.

Ni kazi bure kutaka kushindana na kitu usichoweza kukimudu tena.
 
Wote tunafahamu msemo usemao umoja ni nguvu,na utengano ni udhaifu. Hakuna shaka yeyote kwamba penye mafarakano hakuna mafanikio. Bwana Yesu alipoambiwa kwamba anatoa pepo kwa kumtumia Belzebuli, alisema, "nyumba ikifitinika haiwezi kusimama!"

Leo kule Dodoma nimeona nyumba ya mama Tanzania ikifitinika, nimeona mafarakano ya wazi kati ya Wanawake na Wanaume, mafarakano ambayo si ya afya kwa taifa letu. Nilitegemea kwamba ujio wa Rais mwanamke, Mama Samia Suluhu, ungeleta umoja, badala yake naona mbegu za minyukano zikipandwa. Ni kama wenzetu wanawake walikuwa wanasubiri nafasi hii, ili waendeleze minyukano zaidi, ambayo kiukweli tayari ilikuwepo.

Sijui kama it's mere coincidence kwamba katika wagombea sita wa kujaza nafasi za NEC, waliochaguliwa kujaza nafasi hiyo, wote ni wanawake! Mimi naamini sio coincidence, bali ndio minyukano kati ya Wanaume na Wanawake imeanza. Maneno aliyotamka Mama Kabaka Mwenyekiti wa UWT, wakati anatoa hotuba ya kumtunuku Rais zawadi,yanathibitisha hili.

Upo ushahidi wa kutosha, kwamba minyukano hii inahamasishwa na kupewa financial support and backing na nguvu zilizo-jificha za nchi za magharibi through NGOs, vyombo vya habari, mitandao, internet na hata wakati mwingine makampuni ya simu, ili kuvunja familia na ustawi wa jamii yetu kwa maslahi mapana ya nchi hizo.Na kama hatutakuwa makini kama taifa,baada ya miaka kumi ijayo, familia zetu na jamii vitakuwa vime-sambaratika kabisa.

Mimi sina shaka yeyote kwamba kuchaguliwa wanawake tupu kwenye kinyang'anyiro hicho kumewezekana kwa kuwa wajumbe wengi waliohudhuria ni Wanawake. Lakini je, kuchaguana kijinsia kuna tija kwa taifa letu? Ukweli ni kwamba hapana, kwa kuwa hii ita-compromize kwa kiwango kikubwa weledi na hii ni hatari kwa wa ustawi wa Taifa letu.

Lipo wazo la kugawana madaraka 50/50. Kwa nini kuwe na target ndilo jambo linalokera. Linakera kwa kuwa likely-hood ya ku-compromize weledi ili kua-chieve target is obvious. Hili nimeliona sehemu nyingi sana. Infact hata leo kule Dodoma jambo hili limejionyesha wazi. Who knows, labda katika wale wagombea wanaume walio-achwa, some are more competent than the ladies elected.

Sina tatizo na wanawake kupewa responsible positions, naomba nieleweke, nina tatizo na ku-compromize professionalism at the expence of gender equality. Our main target should be professionalism, not gender equality.

Nafurahi kwamba wapo wanawake wanao-jitambua, ambao hawataki kupewa nafasi yeyote as a reward, wanapenda kupewa nafasi kwa kuwa wanastahili. Ningependa huu ndio uwe msimamo wa wanawake wote. Tuache professionalism iwe ndio kigezo pekee cha mtu kupata nafasi yeyote anywhere. Minyukano hii inayo-endelea sasa kwa sababu ya kuganga njaa, sio healthy sana, tutangulize mbele kwanza maslahi ya Taifa letu.

Ili uweze kupata.picha kamili ya kile kilichotokea Dodoma leo na kwa nini kimetokea,tafadhali fuata link ifuatayo.Hii ni vita kamili dhidi ya familia,and the sooner we realize that and do something about it the better.

Magufuli alikuwa akitolea wanawake maneno wazi ya udhalilishaji na kibaguzi tulikaa kimya ...hivyo tukubali matokeo ya wanawake nao kujiona saasa ni muda wetu wa kuonyesha hisia zetu..

Tukubali na kufanya maridhiano
 
Mkuu, itabidi tu ukubali msemo:'The gin is out of the bottle".

Tafuta tu njia za kuishi nalo.

Ni kazi bure kutaka kushindana na kitu usichoweza kukimudu tena.
The Jinn is out of the bottle indeed mkuu,ila ni vizuri mtu akajua kinachoendela,ili aweze kufanya something at the personal level.Remember that knowledge is power.
 
Magufuli alikuwa akitolea wanawake maneno wazi ya udhalilishaji na kibaguzi tulikaa kimya ...hivyo tukubali matokeo ya wanawake nao kujiona saasa ni muda wetu wa kuonyesha hisia zetu..

Tukubali na kufanya maridhiano
Wewe ni mwanaume kweli?I don't believe it.Ila jina linaonekana kama la mwanaume!Kama wewe ni mwanaume,basi sio wewe uliyetoa hii comment,it's the Gin in you.
 
Hii ni awamu ya sita sio ya tano mkuu. Kaa kwa kutulia
 
The gin is out of the bottle indeed mkuu,ila ni vizuri mtu akajua kinachoendela,ili aweze kufanya something at the personal level.Remember that knowledge is power.
Na hiyo "Knowledge is Power" - ndiyo hasa itakayosambaratisha kabisa mfumo uliokuwepo wa "male domination".

Mkuu, lisiloweza kupingika ni hilo uliloliweka sawa kabisa, la kuwa na uwezo. Acha mwenye uwezo aongoze.

Lakini kwa hatua hizi za mwanzo za kujiona wanajikomboa, tutayaona mengi yasiyopendeza kutoka upande huo.

Lakini naamini baada ya muda patakuwepo na uzoefu wa hali mpya pande zote mbili, na mambo yatakuwa ya kawaida baada ya hapo.

Hebu waangalie jamaa zetu waliotangulia katika mambo kama hayo, kwa mfano Wamarekani wanavyoichukulia hali hiyo!

Ni swala la muda tu nasi tunaelekea huko kwa spidi yetu wenyewe.
 
Back
Top Bottom