Unapambana na nani hapa Duniani!!?? Au wwe unapambania nini!!??Maisha ya hapa duniani ni mapambano mithili ya askari aliye vitani. Zivae silaha zote ili uweze kuzishinda hila na mashambulizi ya upande wa pili.
Ulichoona wanakichezea usiku asubuhi yake kwa macho yako ya kawaida unaona kipo sawa ila wanao ona na kuona Tena wanaona usichoona .Usiku umeviona vibabu vinakula na kutapikia chakula halafu asubuhi unampa mtoto wa jirani anakwambia huoni kama chakula kimechezewa unashangaa dogo ameona halafu wewe huoni[emoji3]
Ngoja nipige zangu kiporo changu cha wali na maharage nkimaliza niende nkalijenge taifa
Unaweza kuwa Mmoja wao sio bure.Basi anajuana nao huyo
Sema hatukupenda chakula hakikua kitamu.Unaweza kuwa Mmoja wao sio bure.
Baada ya kuwakuta hao watu jikoni ukafanyaje
ThubutuSema hatukupenda chakula hakikua kitamu.
Leo pika nyama tunakuja tena