Nilichokiona Usiku ule

Nilichokiona Usiku ule

Usiku umeviona vibabu vinakula na kutapikia chakula halafu asubuhi unampa mtoto wa jirani anakwambia huoni kama chakula kimechezewa unashangaa dogo ameona halafu wewe huoni[emoji3]

Ngoja nipige zangu kiporo changu cha wali na maharage nkimaliza niende nkalijenge taifa
Ulichoona wanakichezea usiku asubuhi yake kwa macho yako ya kawaida unaona kipo sawa ila wanao ona na kuona Tena wanaona usichoona .
Endelea kula matapishi ya watu.
 
Kiporo cha wali maharage na chai ya maziwa nagonga kama kawa 😀
 
Back
Top Bottom