Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Kama hiyo Al Ahly ina kiwango sawa na Tembo Fc sawa, mtashinda kwa idadi hiyo ya magoli.Habar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0