The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Hama kwa shemejiHabar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0