Kama hiyo Al Ahly ina kiwango sawa na Tembo Fc sawa, mtashinda kwa idadi hiyo ya magoli.Habar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0
Mwanaume kutahiriwa ni lazima, utopolo mtakufa na magovi yenu.Kelele na chambuzi za Masandawane zimeisha sasa. Leo mpo kimyaaaaaa, mnasubiri kutahiriwa baadaye.
Unamaanisha kama iliyotokea kwenye mechi za Galaxy na Horoya?Ila Simba maneno yenu kabla ya mechi na kinachotea uwanjani ni mbingu na ardhiπ
Ana maanisha kama mlivyo tahiriwa na mtani wenu Kono la nyani.Unamaanisha kama iliyotokea kwenye mechi za Galaxy na Horoya?
Mi mwenyewe nataka nikutoe kafara kabla ya swala ya alasiri.Makafara FC
Magoli hayafiki idadi hiyo, simba anashinda 3-1, nipo kwa babu Unkuku Kondoa nishaona game nzima kwenye screen yake, kuna kadi nyekundu mbiliHabar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0
Ft Simba 2 : 1 Al ahlyMagoli hayafiki idadi hiyo, simba anashinda 3-1, nipo kwa babu Unkuku Kondoa nishaona game nzima kwenye screen yake, kuna kadi nyekundu mbili
Simba kushinda leo nakubali lakini sio Yanga. Yanga kila tukifanya hesabu tunaona uwezekano wa kushinda ni asilimia 20% na asilimia 80% inaonyesha atafungwa tena kwa idadi kubwa ya magoliSimba na Yanga zinashinda hizi mechi za Leo na kesho.
Kwa kuwa wameamua kuacha Kila mtu ajitegemee na shughuli zake.
Kikinge kilichosaidia ni Kwa vile zote bado zipo kwenye mashindano. Hakuna aliyetolewa mapema ambaye angekuwa kizingiti Cha mwingine.
Afungwe tu...Habar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0
Watakuotea chumbani kwangu ukiwa uchi kama ulivyozaliwa.Mara paaap kala 4. Sijui mtaniokotoea wapi leo
K UTI kama yako huwa sina shobo nazoWatakuotea chumbani kwangu ukiwa uchi kama ulivyozaliwa.
EndeleaaaaMi mwenyewe nataka nikutoe kafara kabla ya swala ya alasiri.
Al Ahly anaenda kufungwa goal zisizopungua 4Umeona nini?
unapunguza morali π€£Mara paaap kala 4. Sijui mtaniokotoea wapi leo
Hofu yangu mikia wakifungwa leo sijui kesho pata-amkaje πππSimba na Yanga zinashinda hizi mechi za Leo na kesho.
Kwa kuwa wameamua kuacha Kila mtu ajitegemee na shughuli zake.
Kikinge kilichosaidia ni Kwa vile zote bado zipo kwenye mashindano. Hakuna aliyetolewa mapema ambaye angekuwa kizingiti Cha mwingine.