The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Hama kwa shemejiHabar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0
Umepigaje hapo.......mauchawi yenu yatakua na mategeAl Ahly anaenda kufungwa goal zisizopungua 4
K I K O WAPI?Habar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0
wakajua Ahly ni JwanengHizi aibu za kijinga mbona zinaepukika
Habar JF,
Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani.
Tunzeni uzi huu.
Simba sc Tanzania 4 Al Ahly 0
Naunga mkono hojaKweli umbumbumbu upo na mbumbumbu wapo
Ni hawana akiliwakajua Ahly ni Jwaneng
Mwasibu kwanini unaidhalilisha taaluma yako kiasi hiki?Mara paaap kala 4. Sijui mtaniokotoea wapi leo
Tutakuokotea Sewa Lodge Buguruni SokoniMara paaap kala 4. Sijui mtaniokotoea wapi leo