Nilichokishuhudia leo Katoro naanza kupata imani hii ni CHADEMA iliyojitoa mhanga kutetea maslahi ya Watanzania

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Naendesha mkweche wangu wa bei rahisi na huwa hauli mafuta maana ni Suzuki Jimmy ya kizamani. Natoka Katoro naenda zangu Igunga.

Leo zilikuwa zinashushwa nondo za uhakika za kudai maslahi ya umma na wala sio kuendekeza njaa.

Hoja kubwq ni kupata katiba mpya ambayo itatetea maslahi ya umma .

Baada ya mkutano nikashangaaa maandamano makubwa yanayotaka Tundu Lissu aachiwe.
 
kawadanganye wafuata mkumbo wenzako na hizo porojo nonsense gentleman
 
Naendesha mkweche wangu wa bei rahisi na huwa hauli mafuta maana ni Suzuki Jimmy ya kizamani. Natoka Katoro naenda zangu Igunga.

Leo zilikuwa zinashushwa nondo za uhakika za kudai maslahi ya umma na wala sio kuendekeza njaa.

Hoja kubwq ni kupata katiba mpya ambayo itatetea maslahi ya umma .

Baada ya mkutano nikashangaaa maandamano makubwa yanayotaka Tundu Lissu aachiwe.
Idugunde wa awamu ya 5 enzi za JPM akikutana na Idugunde wa awamu hii ya 6 watapigana wauwane.
 
Naendesha mkweche wangu wa bei rahisi na huwa hauli mafuta maana ni Suzuki Jimmy ya kizamani. Natoka Katoro naenda zangu Igunga.

Leo zilikuwa zinashushwa nondo za uhakika za kudai maslahi ya umma na wala sio kuendekeza njaa.

Hoja kubwq ni kupata katiba mpya ambayo itatetea maslahi ya umma .

Baada ya mkutano nikashangaaa maandamano makubwa yanayotaka Tundu Lissu aachiwe.
We jamaa Nani atakuamini? Sio wale wale ?
 
Kwani wewe hujasikiliza hotuba za akina Heche na wenzake kule Katoro. Niache nipo Masumbwe nakula supu na Balimi baridi kabla sijaendelea na safari
haya bana,
enjoy balimi yako baridi na hiyo supu na kisha umalizie safari yako salama,

kumbuka,
unywaji wa pombe kupita kiasi, ni hatari kwa afya na uhai wako.
kunywa kistaarbu,

leo heche hajaropoka nonsense zake sana aise
 
MUNGU NIBARIKI MIMI GAGNANT.

MUNGU IBARIKI HAKI YANGU MIMI GAGNANT.

MY GAGNANT PERSONALITY'S POWER.

MUNGU IBARIKI BUKOBA.

MUNGU IBARIKI MULEBA.

MUNGU IBARIKI KATORO.

MUNGU IBARIKI ISRAEL.

MUNGU IBARIKI USA,MAREKANI.

MUNGU IBARIKI EUROPEAN UNION.

MUNGU IBARIKI ROMA.

MUNGU IBARIKI VATICAN.

MUNGU IBARIKI CHADEMA.

MUNGU IBARIKI HAKI YA TUNDU LISSU.

* * * *

BUKOBA PEOPLE'S POWER.

MULEBA PEOPLE'S POWER.

KATORO PEOPLE'S POWER.

ISRAEL PEOPLE'S POWER.

USA PEOPLE'S POWER.

EUROPEAN UNION PEOPLE'S POWER.

ROMANS PEOPLE'S POWER.

VATICAN PEOPLE'S POWER.

CHADEMA PEOPLE'S POWER.

JOHN HECHE PERSONALITY'S POWER.

TUNDU LISSU PERSONALITY'S POWER.
 
haya bana,
enjoy balimi yako baridi na hiyo supu na kisha umalizie safari yako salama,

kumbuka,
unywaji wa pombe kupita kiasi, ni hatari kwa afya na uhai wako.
kunywa kistaarbu,

leo heche hajaropoka nonsense zake sana aise
Ukweli unakuingia ila unajikaza. Taifa linahitaji katiba mpya.
 
Back
Top Bottom