relax bas,Ukweli unakuingia ila unajikaza. Taifa linahitaji katiba mpya.
pwagu na pwaguzi mnafarijiana sio?Mpuuze huyo..
Ukimjibu unampa airtime ya bure!
nadhani ni zaidi ya porojo,Hizo ni porojo?
kawadanganye wafuata mkumbo wenzako na hizo porojo nonsense gentleman
Abdul hajambo?kawadanganye wafuata mkumbo wenzako na hizo porojo nonsense gentleman
Lembrus Mchome, kwema? 🐒Abdul hajambo?
Akina Lucas Mbwa Wa Shamba wanatakiwa wajifunze hapa , kuna yule mwingine anaitwa Crimea pia ameshauona mwanga.Idugunde wa awamu ya 5 enzi za JPM akikutana na Idugunde wa awamu hii ya 6 watapigana wauwane.
Bado upo masumbwe? Kuna pub ipo barabarani apo opposite na tawi la nmbKwani wewe hujasikiliza hotuba za akina Heche na wenzake kule Katoro. Niache nipo Masumbwe nakula supu na Balimi baridi kabla sijaendelea na safari
Ok masumbwe mang'ombe napafahamu to kahamaNimeshachomoka naitafuta Kahama nitalala Kahama maana wadau kibau
NothingUnataka nini?
Hamna, hao wana hasira tu za kutumbuliwa.Akina Lucas Mbwa Wa Shamba wanatakiwa wajifunze hapa , kuna yule mwingine anaitwa Crimea pia ameshauona mwanga.
Huyu amesilimu, utawala haramu umekuwa chachu ya wataka mabadiliko waongezeke, kuifungia Chadema kwa siku 310 na kuendelea kumuweka kizuizini Tundu Lissu kumezidi kuiumarisha Chadema kwani hata wanaccm waliokerwa na uhuni uliotumika kumsimika Samia madarakani wameamua kuiunga mkono Chadema . CCM kuendelea kushauriwa na hili ndondocha Wasira ndiyo inazidi kujitia kitanziWe jamaa Nani atakuamini? Sio wale wale ?
Huyo mjinga dawa yake ni kumuweka kwenye kapu la ignore list mimi nilishammwaga kitambo maana post zake ni uharo kumjibu ni kumpa kichwa azidi kuharisha humu.Porojo gani? Una akili timamu?
Bimsumi kanenepa sana kwa kunywa damu za Watanganyika zaidi ya 10,000.