Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

Aya ashakufa naona saivi mtajenga magorofa mtupo huru sasa πŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
inakuaje mkuu alaumiwe sana yeye tena lawama sio za leo useme kafa ndo wanaanza kumsingizia
Sasa mkuu tufanye hivi...kweli alikuwa anawanyonya..but aliyekuwa anawanyonya kashafariki kwahiyo hao wasanii tutegemee sahivi waanze kumiliki majumba makubwa na magari ya kifahari huku wanatoa hit songs tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…