Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 519
Aya ashakufa naona saivi mtajenga magorofa mtupo huru sasa 😥😥😥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe ndo belle 9...or wewe ushawahi kunyonywa na ruge??
Sasa mkuu tufanye hivi...kweli alikuwa anawanyonya..but aliyekuwa anawanyonya kashafariki kwahiyo hao wasanii tutegemee sahivi waanze kumiliki majumba makubwa na magari ya kifahari huku wanatoa hit songs tuinakuaje mkuu alaumiwe sana yeye tena lawama sio za leo useme kafa ndo wanaanza kumsingizia