Nilichokutana nacho Burundi

Nilichokutana nacho Burundi

Burundi, DRC askari kubeba bunduki ni kawaida mno ,na unamkuta yuko tungi ana yumba na bunduki begani
Askari wa huku wanakunywa pombe 24/7 sijui ofisini inakuje.
 
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
Mkuu umepata uwenyeji huko nikuulize baadhi ya vitu huko?
 
Back
Top Bottom