Nilichokutana nacho Burundi

Nilichokutana nacho Burundi

Hiyo Primus Beer, tulianza kuikunywa huku Ushirombo tangia miaka ya 2010
 
Mkuu kwenye swala la mitikasi.Umegundua mishe gani zinalipa tujiwekeze huko??
 
Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
TUwasilianae, niko huku mkoani Ngozi
 
Back
Top Bottom