Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina ladha ya TaskerAhaa ulishabahatika kuinywa,ni light beer.
Mambo mengine potezea.Pombe tu ndo unaanzisha uzi. Pumbafu!
Sema utajaza tumbo tu,,, kuyumba kwa mbali kama kawaidaSawa kabisa mkuu,ila wasiwasi wangu ikifika bia ya saba nitaweza kulibeba?
Aise, hilo zali lihamie hapa bongo basi.Huku kila askari amelibeba,nimesikia wakienda baa akienda toilet anakupa umshikie mpaka arudi
Bado nyapu!Pombe tu ndo unaanzisha uzi. Pumbafu!
Jiulize kwanini umemtukana?Pombe tu ndo unaanzisha uzi. Pumbafu!
TUwasilianae, niko huku mkoani NgoziHabarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus
Ngozi mji wa Nkurunzinza huu ,sio mbali na TzTUwasilianae, niko huku mkoani Ngozi