Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Nikihitaji "Manati ya mzungu" vipi, utaniletea kwa sh ngapi?
Burundi, DRC askari kubeba bunduki ni kawaida mno ,na unamkuta yuko tungi ana yumba na bunduki beganiHuku kila askari amelibeba,nimesikia wakienda baa akienda toilet anakupa umshikie mpaka arudi
Mkuu umepata uwenyeji huko nikuulize baadhi ya vitu huko?Habarini wadau wote wa Jamii forums na pongezi kwa viongozi wote wa JF kwa kufunikiwa kutuleta pamoja tena.
Nikiwa nimefika Burundi kwa mara ya kwanza kikazi nimetulia tuli katika mkoa wa Gitega,moja ya kitu kilichonifurahisha ni bia maarufu nchini Burundi kwa walala hoi ni bia ya Primus,kwa muonekano iko kwenye chupa kubwa la ml 1500 INA ladha nzuri huku nikishushia na mishikaki ya bf 2,000/ jamani njooni Burundi mufurahie ladha adimu ya Primus