Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

Hilo jenereta ulipaswa kuweka nje, ila kwa ndani ni hatarishi kwa usalama wa nyumba ya watu
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kuna Maisha mengine ni full interesting
 
Iliwahi nikuta hii mwaka 2006/7 wanakwaya sijui praise walikua wanajifunzia chumbani mwao tena usiku, mwendo wa majitaa tu adi 8 usiku...
Tukaamua na jamaa yangu kuchukua ufa kubwa sean piano, wakianza tu na sisi tunafungulia wakamwita kiongozi wao hakai mbali kaja kutufokea tukazichapa wapo wa4 sisi wa2 tuliwachakaza na mwenzangu akachukua yale majitaa akayacunja keybord ilikua chumbani,
Baada kuona huu msala nkawahi polis huku nmeloa damu ila alipaka mmoja wao baada ya kumpa ndosi ya maana akaniangukia nkamkaba shingo,
Kuja kufika polisi wakadakwa wote na mbaya zaidi tulipigania koridoni na chumbani kwetu ikala kwao.
Siku iliyofuata wametoka police wakahama.
 
Dah we msenge una balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…