Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

Aisee nilipofika sehemu ya kununia generator I thought umeme ni shida so una mpango wa kuwasha mziki usiku kumbe umeliungurumisha lenyewe tu alafu ukasepa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawatarudia tena hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeshashindwa kuishi mitaa yenye watu wengi na kelele nyingi. Ni heri nipange nyumba nzima niingie gharama tu kuliko kero za majirani na vurugu mitaani.

Nafurahi sasa hivi naishi mlimani kabisa nje kidogo ya mji kelele ninayoisikia ni ya ndege asubuhi, azana, kengele ya kanisa asubuhi, crickets [emoji3074] na matawi ya miti upepo ukivuma.
Ila Franc jamani, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona kama unaishi mazingira ya kimaskini sana mzee baba...

Tafuta mahali ambapo watu wastaarabu, achana na hao maskini wasiojua maendeleo huanza kwenye tabia...
mazingira yapo pouwa sana na nyumba ni nzuri sema mmiliki ana mambo meusi
 
  • Wana jf, kwemaaaaa..?
  • Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu walivyobariki.

  • Ipo hivi hapa mamamjengo ni mjane na anavijana wake wakubwa tuu wa 3 umri wao wa kati ni kati ya 26-34, sasa mamamjengo pamoja na wanae hakuna anaechangia bili ya maji,umeme na ata usafi wa choo hawachangii sabuni wala kununua fagio kwa kigezo wao ni yatima na mama yao ni mjane hivyo hawana kazi wala nini ila kila siku night wanakuja wapo tungi hao vijana ni full matusi yaan wanatukanana hatari na wake zao so kila usiku ni kero za makelele ukijumuisha na watoto wao yaani full noise pollution.

  • Sasa j'pili iliyopita nlitoka zangu mlimani kupiga job so kufika home ni kelele nkatoka nje na kuwaeleza watoto wale waache kelele lakini niliambiwa kama hutaki kelele kajenge kwako🙄 nkaona isiwe kesicoz ninae kachanga ndaniwife akaniambia achana nao ckuiz wanapiga mziki mkubwa ad usiku wa manane kama kukomoa vile so we wapotezee tuu. basi me nkatulia zangu ndani na kweli yaani walisumbua haswa mpaka ngoma 9:17 iv usiku.

  • Asubuhi kumekucha tuu nikampeleka wife home kwa maza angu so mbali na ninapokaa then nkaenda kukodisha GENERETOR nkalipeleka mpaka gaza nkaliweka ndani, ilipofika usiku wa sa 4 nkaenda zangu na mafuta nkalijaza then nkaliwasha nkafunga mlango nkasepa nakaliacha linaunguruma usiku kucha, walipiga simu ad walidata, Then asubuhi ya j4 nkaenda nkalizima sikuongea na mtu nkasepa then ilipofka usiku wa kuamkia leo nkaendeleza doziiii.
  • L EO mchana naona balozi na mwenyekiti wamenipigia hii ni kwa mujibu wa jirani yangu alinijulisha ni namba zao so wameniomba kijana tafadhali acha unalolifanya yaani nlikusudia niliinguruishe siku 3 mfulilizo.
  • MAJIRANI WAMENIPONGEZA NA KESHO JIONI NI KIKAO NA BALOZI HOJA ZITU NI VIJNA WAKE WALIPE BILI ZA UMEME NA MAJI.
  • AHSANTENI
generator mafuta uliweka lita ngap masaa yote hayo na container yake inachukua ujazo wa lita ngapi
 
Back
Top Bottom