The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
TajiriHivi huwa mnaishi mazingira gani hayo ya ajabu ajabu hivyo?
Hiyo nyumba umewekewa gundi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TajiriHivi huwa mnaishi mazingira gani hayo ya ajabu ajabu hivyo?
Hiyo nyumba umewekewa gundi?
nje wangelizimaHilo jenereta ulipaswa kuweka nje, ila kwa ndani ni hatarishi kwa usalama wa nyumba ya watu
Mbele yakemajirani wamekupongeza hadharani, ama pembezoni?
hakuna namna ka kaziIliwahi nikuta hii mwaka 2006/7 wanakwaya sijui praise walikua wanajifunzia chumbani mwao tena usiku, mwendo wa majitaa tu adi 8 usiku...
Tukaamua na jamaa yangu kuchukua ufa kubwa sean piano, wakianza tu na sisi tunafungulia wakamwita kiongozi wao hakai mbali kaja kutufokea tukazichapa wapo wa4 sisi wa2 tuliwachakaza na mwenzangu akachukua yale majitaa akayacunja keybord ilikua chumbani,
Baada kuona huu msala nkawahi polis huku nmeloa damu ila alipaka mmoja wao baada ya kumpa ndosi ya maana akaniangukia nkamkaba shingo,
Kuja kufika polisi wakadakwa wote na mbaya zaidi tulipigania koridoni na chumbani kwetu ikala kwao.
Siku iliyofuata wametoka police wakahama.
Tajiri🙌Nimeshashindwa kuishi mitaa yenye watu wengi na kelele nyingi. Ni heri nipange nyumba nzima niingie gharama tu kuliko kero za majirani na vurugu mitaani.
Nafurahi sasa hivi naishi mlimani kabisa nje kidogo ya mji kelele ninayoisikia ni ya ndege asubuhi, azana, kengele ya kanisa asubuhi, crickets 🦗 na matawi ya miti upepo ukivuma.
naendaje kukaa kwa wazazi wangu aloo?Akikufukuza hapo unaenda kuishi kwa wazazi wako
Matajiri wanaishi mjini kwenye apartmentsTajiri🙌
Partments ndio nini?🤔Matajiri wanaishi mjini kwenye partments
Apartments. TypoPartments ndio nini?🤔
Sasa mwalimu wangu wa kiingereza usipokua makini nitajua kweli lugha?🤔Apartments. Typo
Aahhh kuna typing errors na grammatical errors. Grammatical errors ndio kitu hakitakiwi ila typing error sio issue.Sasa mwalimu wangu wa kiingereza usipokua makini nitajua kweli lugha?🤔
Sawa lecturerAahhh kuna typing errors na grammatical errors. Grammatical errors ndio kitu hakitakiwi ila typing error sio issue.
Mimi sio lecturer wala sio mwalimu. Mimi ni mlinzi.Sawa lecturer
Daaaaah sio poaaa kudadekiiiii generator😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
- Wana jf, kwemaaaaa..?
- Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu walivyobariki.
- Ipo hivi hapa mamamjengo ni mjane na anavijana wake wakubwa tuu wa 3 umri wao wa kati ni kati ya 26-34, sasa mamamjengo pamoja na wanae hakuna anaechangia bili ya maji,umeme na ata usafi wa choo hawachangii sabuni wala kununua fagio kwa kigezo wao ni yatima na mama yao ni mjane hivyo hawana kazi wala nini ila kila siku night wanakuja wapo tungi hao vijana ni full matusi yaan wanatukanana hatari na wake zao so kila usiku ni kero za makelele ukijumuisha na watoto wao yaani full noise pollution.
- Sasa j'pili iliyopita nlitoka zangu mlimani kupiga job so kufika home ni kelele nkatoka nje na kuwaeleza watoto wale waache kelele lakini niliambiwa kama hutaki kelele kajenge kwako🙄 nkaona isiwe kesicoz ninae kachanga ndaniwife akaniambia achana nao ckuiz wanapiga mziki mkubwa ad usiku wa manane kama kukomoa vile so we wapotezee tuu. basi me nkatulia zangu ndani na kweli yaani walisumbua haswa mpaka ngoma 9:17 iv usiku.
- Asubuhi kumekucha tuu nikampeleka wife home kwa maza angu so mbali na ninapokaa then nkaenda kukodisha GENERETOR nkalipeleka mpaka gaza nkaliweka ndani, ilipofika usiku wa sa 4 nkaenda zangu na mafuta nkalijaza then nkaliwasha nkafunga mlango nkasepa nakaliacha linaunguruma usiku kucha, walipiga simu ad walidata, Then asubuhi ya j4 nkaenda nkalizima sikuongea na mtu nkasepa then ilipofka usiku wa kuamkia leo nkaendeleza doziiii.
- L EO mchana naona balozi na mwenyekiti wamenipigia hii ni kwa mujibu wa jirani yangu alinijulisha ni namba zao so wameniomba kijana tafadhali acha unalolifanya yaani nlikusudia niliinguruishe siku 3 mfulilizo.
- MAJIRANI WAMENIPONGEZA NA KESHO JIONI NI KIKAO NA BALOZI HOJA ZITU NI VIJNA WAKE WALIPE BILI ZA UMEME NA MAJI.
- AHSANTENI
Usinichoshe bhanaMimi sio lecturer wala sio mwalimu. Mimi ni mlinzi.