Nilichomjibu paka wakati akibweka kijinga dirishani kwangu...

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Wiki iliyopita nimekuwa mtu wa kuandamwa sana na paka mtu.Kila siku analialia ovyo kama mtoto aliyenyimwa maziwa na mama yake. Jumapili nikamwekea mtego wa maneno.

Usiku wa manane akaanza kulialia kinafiki dirishani kwangu kwa muda mrefu sana. Baadae nikapaza sauti kubwa sana na kumwambia:

"Hapa ni moto wa kuotea mbali..Endelea tu kunisumbuasumbua...Nitakutengua kiuno sasahivi..shauri yako.."

Toka nimwambie hivyo akakaa kimya na sijamsikia tena akipanua mdomo dirishani kwangu.

Nimemkomesha mimi.Mjinga sana yule paka.
 
hahaahaaaaaa!! utanivunja mbavu, anyway nahisi anajipanga upya kuja kumaliza mission ( ufe) hahaaa jas jokin' dude!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dawa unamwagia supu ya kitimoto. Ungesikia kishindo cha mbio za binadamu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28]
 
Hapo ulimuweza maana inaaminika dawa ya mchawi ni kumkemea au kumsonya kuonesha kumpuuza,hata mimi ilishanitokea Nyumbani,siku hiyo tumemaliza kula kila mmoja akaenda zake kulala(Nyumba ni self ya vyumba vinne),lakin ilikuwa haina dari juu,sasa mida ya kuanzia saa saa 5-6 kuna kitu kinatua juu ya bati,ni kama ndege fulani(kunguru),sikuwahi kumshuhudia ila ndiyo utuaji wake,(Kunguru ana tabia arfajil anatua kwenye Nyumba na kuanza kutembea),bas akitua anaanza kukwaruza bati na makucha yake hivyo inakuwa kero kubwa usiku huo,siku moja nikapata ujasiri nikaanza kuongea wakati huo nipo ndani usiku,nikasema kwa nguvu -"Watu wengine mmekosa kazi za kufanya mnaanza kusumbua wengine usiku,ni ujinga badala ya kulala unaanza kutembea kwenye majumba ya Watu na kuanza kuwasumbua na haupati faid yoyote,huo muda bora ungeutumia kufanya mambo mengine yenye faida...kama wewe huko juu ni Mtu na siyo ndege kama unavyotaka kuaminisha Watu(akanyamaza kimya),nyie ndiyo mnajitafutia taabu(mkwara tu) na ipo siku yako,tangu siku hiyo mpaka leo huo upuuz ulikomaa
 
Dawa unamwagia supu ya kitimoto. Ungesikia kishindo cha mbio za binadamu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mifupa ya kitimoto ilinisaidia sana kuna kipindi wazee wa anga walikua wanasumbua sana nikaitandaza dirishani, mlangoni na kwenye kina za nyumba wanazopitia nilikua nalala mpaka nachelewa kazini..
Ni washenzi sana Hawa viumbe aisee!
 
Wew unatishia kumtengua kiuno yeye anakutengua uhai wako.
Hapo tutajua nani zaidi
Usitishie kujamba huku unaharisha.
 
Jirani alimkemea paka,domo likapinda mpk walipoenda kwa mtaalamu wa jadi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Juzi kati nilikutana na paka ana kishindo utadhani Goliat wa kifilist,ningejua hii mbinu ningempiga huu mkwara
 
Hahahahhhha daaah hadi watu wanafikiri nimechanganyikiwa

JF haijawahi kunikifu
 
Dawa unamwagia supu ya kitimoto. Ungesikia kishindo cha mbio za binadamu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo ulimuweza maana inaaminika dawa ya mchawi ni kumkemea au kumsonya kuonesha kumpuuza,hata mimi ilishanitokea Nyumbani,siku hiyo tumemaliza kula kila mmoja akaenda zake kulala(Nyumba ni self ya vyumba vinne),lakin ilikuwa haina dari juu,sasa mida ya kuanzia saa saa 5-6 kuna kitu kinatua juu ya bati,ni kama ndege fulani(kunguru),sikuwahi kumshuhudia ila ndiyo utuaji wake,(Kunguru ana tabia arfajil anatua kwenye Nyumba na kuanza kutembea),bas akitua anaanza kukwaruza bati na makucha yake hivyo inakuwa kero kubwa usiku huo,siku moja nikapata ujasiri nikaanza kuongea wakati huo nipo ndani usiku,nikasema kwa nguvu -"Watu wengine mmekosa kazi za kufanya mnaanza kusumbua wengine usiku,ni ujinga badala ya kulala unaanza kutembea kwenye majumba ya Watu na kuanza kuwasumbua na haupati faid yoyote,huo muda bora ungeutumia kufanya mambo mengine yenye faida...kama wewe huko juu ni Mtu na siyo ndege kama unavyotaka kuaminisha Watu(akanyamaza kimya),nyie ndiyo mnajitafutia taabu(mkwara tu) na ipo siku yako,tangu siku hiyo mpaka leo huo upuuz ulikomaa
Aisee,hii ilinitokea hivyo hivyo!nikamwambie haa kwani si uingie tu ndani?Sasa huko juu unamkomoa nani? .Hakurudi tena.
 
Dawa unamwagia supu ya kitimoto. Ungesikia kishindo cha mbio za binadamu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaa hiyo supu si mpaka awe nayo!
 
Back
Top Bottom