Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Wiki iliyopita nimekuwa mtu wa kuandamwa sana na paka mtu.Kila siku analialia ovyo kama mtoto aliyenyimwa maziwa na mama yake. Jumapili nikamwekea mtego wa maneno.
Usiku wa manane akaanza kulialia kinafiki dirishani kwangu kwa muda mrefu sana. Baadae nikapaza sauti kubwa sana na kumwambia:
"Hapa ni moto wa kuotea mbali..Endelea tu kunisumbuasumbua...Nitakutengua kiuno sasahivi..shauri yako.."
Toka nimwambie hivyo akakaa kimya na sijamsikia tena akipanua mdomo dirishani kwangu.
Nimemkomesha mimi.Mjinga sana yule paka.