Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

Wewe umesoma ila huna akili. Mfumo wa elimu ya darasani umeletwa Afrika chini ya miaka 100 iliyopita, kwa mtazamo wako huo wa kijinga wazee wetu waliotangulia ambao hawakusoma hadi darasa la 7 hawakua na umuhimu wa kuishi hapa Duniani kwa sababu hawakwenda shule?
Mpe Elimu mpumbavu huyo.
Ninawajua watu kadhaa waliofika darasa la saba kielimu wamewaajili wasomi kuendesha miradi walioibuni hao darasa la saba.
 
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Mkuu,

Huoni kwamba hao watu hata kama hawana umuhimu wowote kama unavyosema, kuwapo kwao ni muhimu kwa sababu kunakupa nafasi ya kuwapima walioelimika zaidi dhidi yao?

Tukiwaondoa wote walioishia darasa la saba tutashindwa kujua tofauti ya waliosoma zaidi na walioishia darasa la saba.

Kisayansi hili kundi linaweza kuwa ni "control group" la kutuambia umuhimu wa elimu uko wapi?

control group
Listen to pronunciation
(kun-TROLE groop)
In a clinical trial, the group that does not receive the new treatment being studied. This group is compared to the group that receives the new treatment, to see if the new treatment works.
 
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Mbona kuna Wanachuo hela ya boom (chakula)wananunua TV 70" na play station wanacheza ghetoni huku hawana kitanda, Kiti wala meza wanakaa kwenye ndoo za maji wanacheza PlayStation.
 
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Kwa andiko hili wewe utakuwa uliishia darasa la pili c
 
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Elimu haina uhusiano na umuhimu wa Mwanadamu ktk Jamii
kuna walioelimika lakini bado ni Wajinga ktk kufanya maamuzi. Elimu ni Utambulisho wa nini ulisoma au kutumia muda wako kusomea nini na kukielewa.
 
Watumishi wa Serikali asilimia kubwa 90% huwa hawana akili na serikalini ndo sehemu vilaza ukimbilia kujinusuru na maisha
It's can be possible,ndo maana wakiachishwa au kustaafu huwa na hali mbaya mtaani,, maana mtaani si mchezo panahitaji akili ya ziada.
 
Kwenda shule ni suala moja na kuelimika ni jingine.Uliyepita shule watambulikaje mbele ya jamii?Au nawe wataka kuwa kama wazee wetu wa darasa la nane kwa tambo za kiingereza pasipo na tija katika jamii?
 
Back
Top Bottom