Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Kwenye huo mfano wako, elimu inahusikaje?Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Mpe Elimu mpumbavu huyo.Wewe umesoma ila huna akili. Mfumo wa elimu ya darasani umeletwa Afrika chini ya miaka 100 iliyopita, kwa mtazamo wako huo wa kijinga wazee wetu waliotangulia ambao hawakusoma hadi darasa la 7 hawakua na umuhimu wa kuishi hapa Duniani kwa sababu hawakwenda shule?
Mkuu,Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Mbona kuna Wanachuo hela ya boom (chakula)wananunua TV 70" na play station wanacheza ghetoni huku hawana kitanda, Kiti wala meza wanakaa kwenye ndoo za maji wanacheza PlayStation.Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Kwa andiko hili wewe utakuwa uliishia darasa la pili cWatu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Elimu haina uhusiano na umuhimu wa Mwanadamu ktk JamiiWatu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.
Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Upo sahihi.Sio darasa la saba tu inategemea na mtu
It's can be possible,ndo maana wakiachishwa au kustaafu huwa na hali mbaya mtaani,, maana mtaani si mchezo panahitaji akili ya ziada.Watumishi wa Serikali asilimia kubwa 90% huwa hawana akili na serikalini ndo sehemu vilaza ukimbilia kujinusuru na maisha
Mfano king msukumaMpe Elimu mpumbavu huyo.
Ninawajua watu kadhaa waliofika darasa la saba kielimu wamewaajili wasomi kuendesha miradi walioibuni hao darasa la saba.
Uenda hela mnazompa ni kiduchu bado,yafaa mumwongezee,ili asije tiwa bandSio la saba tu
Mdogo wetu wa kike yupo chuo yeye ukimpa pesa leo baada ya wiki anakuomba tena 🤣🤣
Namwombea tu asiangukie kwa wahuni😁