Huna ndoa wewe.. acha kufundisha wenzio waishi kama wewehaaaa eti nikamuandaa akaoge....amekua mwanao wa kumzaa uyo?ivi wanawake wengine ni maboya kiasi hiki....ovyooo..tena unaonekana unaboa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ndoa wewe.. acha kufundisha wenzio waishi kama wewehaaaa eti nikamuandaa akaoge....amekua mwanao wa kumzaa uyo?ivi wanawake wengine ni maboya kiasi hiki....ovyooo..tena unaonekana unaboa sana
mliverpool kuna asilimia kubwa unachapiwaKisa. Ha kumchoma kisu??ww ni dizaini ya wanawake wanaopenda kumganda sana mwanaume kujua kila muda yupo wapi anafanya nn, na una wivu uliopitiliza "over protective", mnqtqka ku control mwanaume, naongea hivo kwa sababu hata mm mke wangu mwanzo alikuwa hivo, anataka kunikontrol na maswali kama mtoto wake, nikawa namjibu shortcut, nikiwa bar anauliza upo na kina nani namwambia na niliowakuta bar,akipekua akikuta ujinga ktk simu namwambia ukitaka mpigie muda kujieleza sina otherwise usinipige kelele,saaa hiv amenyooka
Sasa utashindana ?? Akiamua kuchapwa achapwe tu Kuna mambo mengi ya kufanya zaidi ya kuchungq wtu!!mliverpool kuna asilimia kubwa unachapiwa
1. Niliempenda = sasa hivi umeacha kunipendaNi mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili
1. Umejuaje kama nimetoka kujamiiana na mwanamke?ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke
1. Kwahiyo ndio umekuja hapa wakusaidie kufikiria? Mimi nimekwambia wewe uamue chochote ufikirie..Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.
uchafu gani wa kutoka kujamiianaAmani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.
Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.
Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.
Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
Bantu Lady UNAFELI WAPI MKE WANGUhakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun