Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu

Samehe na atakujali zaidi na kukuheshim kwan nafsi yake itakuwa inamsute yeye
 
Pole! usitie shaka alienda ku-kopi other side jiandae kwa vinono akikunyima vinono msimpige kisu njoo mie takupa..
 
We toka juzi hadi leo hujaenda tu kugongwa na wewe.?
...acha tu kichwa kikupasuke!
aisee sometimes kama huna la kuongea ni bora kua kimyaa
haaaa eti nikamuandaa akaoge....amekua mwanao wa kumzaa uyo?ivi wanawake wengine ni maboya kiasi hiki....ovyooo..tena unaonekana unaboa sana
ha ha ha unatia hasira ni mojawapo ya mapenzi kwan wewe ukioga na mkeo ni kosa?? tatizo hamfanyiwi hayo je kama alipekua nguo ili akafue asije fua na vilivyomo kwenye mifuko ya suruali hebu think twice!! angekua anapekua angesema hata sim alikuta msg msimhukumu mtu jamani bila kufikiria
 
Aiseee itabidi nianze kumshikia toilet pepa akiwa anapupu, na akimaliza nnamhudumia
kuwa mwanaume raha sana, sijui nkafanye surgery nioe

Hahaaa we fanya surgery tu uingie chaka mazima
 
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu

Huo ni wajibu wako. Ulitaka aingie jikoni akapike chai nawe umekalisha hapo? By the way wewe ni mwanadamu wa aina gani unayechunguza chupi za mumeo? Na umejuaje kafanya ngono? Huu ni upumbavu uliopindukia kutaka ushauri kwa upuuzi kama huu. Stupid kabisa. Yeye akichunguza chupi zako hataona mauchafu? Nyambaf
 
Kweli kuna watu wana bahati za kupendwa. Punguza wivu, labda alikuwa anakuwaza huko njia nzima ndio akapata pre-cum. Kwanza uchafu wa kutoka kujamiiana ndio ukoje kwani?
 
umekurupuka wewe uchafu wakujamiana umeujuaje kwani jamaa kafutia boxer
 
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu

hatariiiiiiiiiiiiii
 
Hizi ndoa nyingine balaa tupu kwani kuna ulazima,wakutangaza aibu ya mumeo hum huwez kukaa nae mkazungumza au hana ndugu zake kama umeshindwa kuongea nae au una roho mbaya mpka ndugu wa mume huelewani nao shhiit ungekuwa mke wangu nikabaini umetoa thread hii hum jf ningekupa talaka zote on the sport

Only in dotcom era.
 
Back
Top Bottom