Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Namba moja hapo, acha upimbi kuwasemea wanaume wote, some men are loyal to their partners. Usipende kujilinganisha na wenzako, kwamba kwa vile unakula tigo...basi wote tunafanya huo ufuska.
Semea nafsi yako kiongozi.
My darlin brothers, nawapenda bureee[emoji119] [emoji119]
Acha kupotosha bana, kama we ndo uko hivyo usitujumuishe wanaume wote
 
Hahaaaa haya bwana, yaani acha kabisa

Ila yote tisa, kumi inategemea na mwanaume mwenyewe, mi siwezi kukubali kufanyiwa makitu kama hayo, so I will definately discourage you hata kama una moyo wa kunifanyia, utaacha tu hakuna namna
[emoji182] [emoji182] [emoji182], there is someone for everyone, Inshallah Mungu atanipa kauzu kauzu kidogo. Maana akinipa wa madeko, imetucost wote hakyanani khaa
 
Hujafanya ujinga wowote kwa kumuhudumia kama mke mwema,ila inaonekana hajali hisia zako,usiwe wakumuuliza kitu,endelea na biashara zako oga pendeza furahi fanya yako kama anaakili yakutosha atajiuliza kwanini upo happy nayeye anafanya vituko ,endelea na shughuli zako ikiwezekana toka katembee ,tembelea ndugu,fanya yote aliokukataza,
Pia siwashangai hao waliokata tamaa na ndoa zao nakuamua kukubeza nikweli wameumia pengine hata hawajaumia ila hawajui thamani halisi ya ndoa,pengine ni wezi tu kama huyo mume wako,hivyo usiume kichwa endelea na maisha yako mamaa
 
Sasa huko alijimwagia kwenye nguo yake au? Muulize pengine msuguano wa ndani ya daladala
 
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.

Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
ni kipindi cha kuonyesha upendo zaid
 
Asante gariba kwa darasa. Tatizo hamjauliza alikuta uchafu gani. Kuna mambo mengi hapo yamefichwa,ingekuwa shahaw sidhani kama angeziona kwani zingepotelea kwenye chupi ama boxer mwezenu kakuta kinyesi ndo sababu anapiga yowe hapa JF.

Aisee nimecheka sana ,kumbe watu waliwaza uchafu ni shahawa tu ,sasa kama ni hivyo mbona namwonea huruma huyo mkewe
 
[emoji182] [emoji182] [emoji182], there is someone for everyone, Inshallah Mungu atanipa kauzu kauzu kidogo. Maana akinipa wa madeko, imetucost wote hakyanani khaa

Hahaaa eti wa madeko

Ila mbona utamjua tu ktk uchumba
 
Wanaume toweni zalau. Moja kwa moja inaonesha jamaa hakwenda hotel maana angeoga kule sasa mambo gani ya kuegeshana nyuma ya gari kama malaya? Afu punguzeni kuchepuka na mabinti wachafu maana mpaka binti anakubali popote ni mchafu by nature. Ishiiiii sio lazima mkichekupa wake zenu wajue

Wewe hujui mapenzi aisee ,kwa hiyo kitandani tu ndio unaona panafaa
 
kwani uchafu gani?isije ikawa alibanwa mshuzi akakuta kaachia!!!tufafanulie..
Msome mumeo,acha kumchunguza.Huku hakuna anayemjua usije ongeza stress buree!!
 
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.

Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.

Kuwa mdadisi wewe..!!

Hakuna mwanaume mjinga kiasi hiki cha kufanya ngono na kuacha hazarani....

Huyo atakuwa amepata ile ndoto ya barehe '' wet dream " akamaliza mumo kwa mumo.... Ni mtazamo tuu....
 
Hahaaa eti wa madeko

Ila mbona utamjua tu ktk uchumba
Sipati picha ntakavyotimua mbio. Ila wanaume mna raha jamani, mnadekezwa tu wenzetu, mtupage basi na Sisi hizo raha siku moja moja mwee
 
Pamoja na kumfanyia yote hayo bado anachepuka, pole asee "ningejimurder"hua nawaambia watu hawa viumbe hata ubebe mgongoni akijisikia kwenda ataenda tu hua hawanielewi..endelea kuogesha mwaya ndo mambo ya ndoa hayo

Hi Shaniqwa
 
Hizi ndoa nyingine balaa tupu kwani kuna ulazima,wakutangaza aibu ya mumeo hum huwez kukaa nae mkazungumza au hana ndugu zake kama umeshindwa kuongea nae au una roho mbaya mpka ndugu wa mume huelewani nao shhiit ungekuwa mke wangu nikabaini umetoa thread hii hum jf ningekupa talaka zote on the sport
 
Umejuaje katoka kujamiiana? Je kama alipiga punyeto baada ya kumwona mwanamke mwenye umbile la ukweli?
 
Hizi ndoa nyingine balaa tupu kwani kuna ulazima,wakutangaza aibu ya mumeo hum huwez kukaa nae mkazungumza au hana ndugu zake kama umeshindwa kuongea nae au una roho mbaya mpka ndugu wa mume huelewani nao shhiit ungekuwa mke wangu nikabaini umetoa thread hii hum jf ningekupa talaka zote on the sport

Wewe utakua mwongo on the sport halafu utoe talaka ??? Hilo linawezekana vipi labda kama game la mkeo halina viwango
Ila ingekua on the spot ningekubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom