Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu
pole mwaya acha kumuogesha .... kuna wanaume wanaraha aiseee.. wengine akifika embu angalia maji kama yanatoka si unajua kuna mgaohakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
amani ya mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.
Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.
Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.
Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
Hahahaha, ndo namna aliyoona inafaa kumjali mmewe.Bora kuogeshana, "kumuogesha"wanawake tuna kazi jamani.
kwamba alipiga peku.....
kwamba ulimvua boxer alafu ukaichungulia mbele..
kwamba kuchelewa kwako ni SAA ngapi...
kwamba hulali mpaka arudi...
iyo ndoa itakushinda....
achana na pekuapekua..nimependa jibu alilokupa..ukome!!
rejea Uzi wangu 'ninavyoishi na mke wangu"
kalaghabaho
usimsikilize huyu, anakudanganya. Inawezekana mumeo alikuwa kwake anakuambia uondoke ili atie timu. Vumilia, samehe hiyo ndio ndoa shoga yangu.Pole mwaya wanaume wana tamaa sana wewe chakufanya jiondokee kabisa kwa huyo mtu atakuletea maradhi bure
kweli kabisa, anapanic bure tu. Hawezi ondoka kwa mchepuko bila kujisafi.angekuwa amefanya ufuska angekuwa tofauti. huenda alikuwaza sana hadi manii yakamtoka, sasa wewe kuyaona unadhani kamaliza tayar.