Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

yamkini hakuwa ametoka kwa mwana mke na kwa kuwa hukumkuta kwenye kitendo vumilia. endelea kumpa mapenzi ya kweli. La msingi zaidi jitaidi kumshawishi afanye mapenzi nawe mara nyingi zaidi ili akienda nje awe amechoka. jiongeze ili akitoka nje awe amechoka
 
Mi naona ume conclude tu.

Mlani shetani na endelea kumpenda mumeo.
 
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu

ukishamchoma kisu ndiyo umepatat suluhisho??????????????????
Omba mungu akupe roho ya imani achana nayo mambo ya kupekua pekua, maana hata sisi hatuwapekui kama mnavyo fanya.
Ukimchunguza anachokula kuku huwezi kumla.
Fikiri kabla ya kutenda jambo
 
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
pole mwaya acha kumuogesha .... kuna wanaume wanaraha aiseee.. wengine akifika embu angalia maji kama yanatoka si unajua kuna mgao
 
amani ya mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.

Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.

inawezekana ulimbania siku nyingi kidogo, akajikuta ana release automatically. Kuwa mwangalifu na matendo yako kwa mumeo .
 
kwamba alipiga peku.....
kwamba ulimvua boxer alafu ukaichungulia mbele..
kwamba kuchelewa kwako ni SAA ngapi...
kwamba hulali mpaka arudi...
iyo ndoa itakushinda....

achana na pekuapekua..nimependa jibu alilokupa..ukome!!

rejea Uzi wangu 'ninavyoishi na mke wangu"
kalaghabaho

Hahahaha kweli wewe Mchepuko tena wa Kiswahili kabisa.
 
angekuwa amefanya ufuska angekuwa tofauti. huenda alikuwaza sana hadi manii yakamtoka, sasa wewe kuyaona unadhani kamaliza tayar.
 
baby zu kwani kwa hiyo unaamini mwanamke aliyejamiiana naye ni mchafu? Au ni uchafu wa namna gani ulioukuta na kujiaminisha kwamba ni wa mwanamke mwenzio?

Napenda kuamini kwamba mumeo alipatwa tu na mfazaiko akamalizia humo kwa humo katika nguo ya ndani, na kuhakikisha hilo chunguza na nguo ya nje utakuta nayo imeathirika. Au inawezekana ana kawaida ya kutingisha mnazi (kupiga nyeto) na huo uchafu ulioukuta ni matone ya mwisho mwisho baada ya kupiga nyeto.
 
Dah si kweli,si wanaume wote wanatoka nje na wako timamu kabisa,acha kupotosha watu kwa kupalilia maovu,hiyo ni tabia na sio suala la akili,thibitisha kitaalamu.
 
Wanaume wasiochepuka ni wachache sana tukubali tukatae!

Sema nae taratibu ukiona kuna ulazima,ama la potezea na uendelee kuonesha mapenzi yadhati kwake.

Ushauri wangu mwingine nikwamba punguza hayo mapenzi yakuogeshana ogeshana,uwe unafanya hivyo Mara moja moja tu!
Muombe Mungu akuongozee mumeo bado naona mna mapenzi mazuri.
 
Pole kwa yaliyokuta. Pili nisikukatishe tamaa kwa style uliyoamua kuishi na mumeo kila mtu ndani ya ndoa ana jinsi anavyoona akifanya hivi ndio ndoa inaboreka ama part of romantic style inayokupendeza, hata mkitafuniana chakula, umuogeshe kwa mate tu hadi atakate usitumie maji hiyo ww ama ninyi ndo mmeichagua njia ya kuishi. Achana na wanaokuona limbukeni wa mapnz wakati wanayatafuta nje hata tu wa kumwambia ahsante pindi akimpa zawadi ama pole pindi achokapo.

Ninachoweza kukwambia asilimia kubwa ya wanaume huwa haijulkani ni nini hasa wanakihitaji kwa mwanamke hadi atulie kabisaa asitoke nje ya ndoa ni neema ya Mungu tu na hofu ndio inayowaongoza wachache the rest huwa wanaona kila mwanamke ana maonjo yake na wanaishi kwa tamaa sio kwa kupenda hata wengine wanapomaliza ku sex na mtu baki huwa wanajuta na wengine kujiuliza mbona hana tofauti na wangu ama wangu yu juu zaidi. So manjonjo ya ndani sio kwamba yanamzuia mwanaume kutoka kumbuka km ww ni mwanamke chunguza marafiki zako wote kuna vitu mmezidiana tu na hivyo ndivyo vinavyowawasha wanaume tamaa.

Ni kweli kakupa jibu baya lkn pengine hakufanya hicho udhaniacho aliwaka tamaa akamaliza mwenyewe though sitaki uamini sana maneno yangu na najua wanawake wanavyo react na ku conclude mapema. Kaa naye kwa upole na hekima muulize (na si kwamba majibu atakayokupa ndio kweli asilimia mia moja hasa akisema sina mtu)

Makubwa mawili- fanya uchunguzi na usikurupuke na kubwa zaidi ni omba hofu ya Mungu itawale ndani yake.
 
What if alipatwa na mfadhaiko tu..
Kama huna solid evidence kuwa na amani...
Otherwise fanya upelelezi
 
Pole mwaya wanaume wana tamaa sana wewe chakufanya jiondokee kabisa kwa huyo mtu atakuletea maradhi bure
usimsikilize huyu, anakudanganya. Inawezekana mumeo alikuwa kwake anakuambia uondoke ili atie timu. Vumilia, samehe hiyo ndio ndoa shoga yangu.
 
angekuwa amefanya ufuska angekuwa tofauti. huenda alikuwaza sana hadi manii yakamtoka, sasa wewe kuyaona unadhani kamaliza tayar.
kweli kabisa, anapanic bure tu. Hawezi ondoka kwa mchepuko bila kujisafi.
 
Wanawake sometimes mnaboa sana,umejuaje ni uchafu wa kujamiana,sometimes mwanamke anakusingizia kitu inabidi umwambie tu fanya lolote au fikiri unavyojua ww maana anakuwa mbishi.
Wangu akinikosa hewani ni ishu,nikiongea na simu mda mrefu ni ishu pia,hata nikiongea na mwanaume mwenzangu atasema tu nini mnaongea mda mrefu,yaani ni shida.
 
Back
Top Bottom