Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Labda Yuko kwenye siku zake ndo maana kachafuka

Sasa kinachokuuma kitu gani mamake?
Mtu atumie chululuu yake huko kwa Raha zake wewe uumie moyo?
Maisha yaendelee labda ameleta na style mpya
Huwezi shindana na nature.wanaume wote ni chovyachovya.hata ufanyeje
 
mliverpool kuna asilimia kubwa unachapiwa
 
Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili
1. Niliempenda = sasa hivi umeacha kunipenda
2. Niliemuheshimu = sasa hivi umeacha kuniheshimu


ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke
1. Umejuaje kama nimetoka kujamiiana na mwanamke?
2. Kwani uchafu wa kujamiina na mwanaume (shoga) au kupiga nyeto ukoje na una tofauti gani?
NB. Unachokitafuta utakipata.
.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.
1. Kwahiyo ndio umekuja hapa wakusaidie kufikiria? Mimi nimekwambia wewe uamue chochote ufikirie.
2. Haiwezekani nimetoka kazini nimechoka unataka tuanze mjadala wa uchafu wa chupi. Hata Kama ni kweli nimetoka kujamiiana si nitakataa tu. Ndio maana nikasema fikiria chochote unataka.
3. Subiri wakusaidie kufikiria kisha jioni uje kunipa mrejesho, pia nitakuwa nimesoma comments za washauri wako.

NB.
1. Nimemjibia mume wako, nadhani yupo hapa JF
2. Hivi ninyi mnaoleta mambo yenu ya ndani mitandaoni mna uhakika gani wenzi wenu hawapo huko mtandaoni?😎😎
 
uchafu gani wa kutoka kujamiiana
kwani mkijamiana huwa unabaki uchafu
 
Usimfikikilie vibaya mwenzako unaweza simama kwenye mwendo kasi naulembanano anatokea mmama anakuja kukubana na makalio yake ya moto hapo lazima tu uchafuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…