Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

Wakati unachochea, ndom ikipasuka, Utajilaumu sana.

Unaweza taka ukajitolee kuwa mpishi kwenye maabara wanayofanya tafiti ya dawa ya ngoma. Ili uwe unawakumbusha "changamkeni jamani"
unapiga taratiiibu wazungu hawachekewi kama una genye lkn?
 
Wakati unachochea, ndom ikipasuka, Utajilaumu sana.

Unaweza taka ukajitolee kuwa mpishi kwenye maabara wanayofanya tafiti ya dawa ya ngoma. Ili uwe unawakumbusha "changamkeni jamani"
Hahahahaha
 
Achana na buku 4 , hyo hyo dem unaeza jichanganya na usijuw anauza , ukamtongoza kistaarab, akachomoa,ukaanza kumhonga , na ukikaa kiboya Zaid unaweza usimle mzigo na akakulia hela zako , na ndo huyo hyo usiku wa buku nne , akakupeleka Kansan kujifanya mcha mungu ili kukutia kwenye ring, na ukijichanganya unaoa...hapa nlipo panga mtt wa mwenye nyumba anadanga juz kat kajifanya anaumwa na Kuna njemba ikaja kumuona , akaazima chumba Cha mpangaj mwingine kujifanya ndo geto lake ,njemba imepigwa kama lak tat za matibab, ...kiufupi hwa madem hawana alama ,na haya mambo hayana formula, hata mm na uzoef wangu naweza nikapigwa vile vile, ...
Umesema kweli kabisa Mkuu,ndio uhalisia wenyewe ulivyo.Kifupi usimwamini mtu kwa kumwangalia kwa nje,Sura, mavazi vinadanganya sana.
 
Hao Malaya tabia ya kuwachomesha mabaharia Aina ya mleta uzi Kuna siku kidogo iwatokee puani, mwamba alitanya hivyo Sasa bidada akajifanya kumcholesha kwa wenzake wakamzukia si unawajua mpaka 50,000 ikamtoka, kumbe mwamba hakuridhika akaleta taarifa kwa wahuni wenzie kilichotokea lile dangulo lilikufa jumla.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Hao Wahuni walifanyaje??.
 
Makahaba na watoza ushuru wanawatangulia kuingia kwenye ufalme wa Mungu, tatizo mnachuja mbu na kumeza ngamia ....,!! Kwenye issue hii mnajifanya watakatifu , Ila mambo mengine ni waovu wa kimya kimya , Usiwadharau Sana hawa watu ..shukru Mungu tu Kwa Hali yako ya kimahusiano
Mkuu,fungua Kanisa kabisa Mimi nije kusali.Umeongea bonge la point.
 
Achana na buku 4 , hyo hyo dem unaeza jichanganya na usijuw anauza , ukamtongoza kistaarab, akachomoa,ukaanza kumhonga , na ukikaa kiboya Zaid unaweza usimle mzigo na akakulia hela zako , na ndo huyo hyo usiku wa buku nne , akakupeleka Kansan kujifanya mcha mungu ili kukutia kwenye ring, na ukijichanganya unaoa...hapa nlipo panga mtt wa mwenye nyumba anadanga juz kat kajifanya anaumwa na Kuna njemba ikaja kumuona , akaazima chumba Cha mpangaj mwingine kujifanya ndo geto lake ,njemba imepigwa kama lak tat za matibab, ...kiufupi hwa madem hawana alama ,na haya mambo hayana formula, hata mm na uzoef wangu naweza nikapigwa vile vile, ...
Kuna demu nilinunua bado anakazi nzuri kabisa ya ofsini na amepanga nyumba nzuri tu na ana boyfriend anamuhudumia

Ila huwezi amini kipindi hicho nipo chuo naeza mwambia leo nina 20 au 15 ananiambia njoo na napiga kwake

Na ni mkali na msafi kichizi
 
Back
Top Bottom