Malaya anauza 4000 ujue hata life style yake ni ya Tsh 4000...chumba uswazi analipa 50K kwa mwezi au anakaa gheto..
Wapo Malaya wanakaa mikocheni, msasani, upanga, nk kwenye apartments wanalipa mpaka $500 - $1000 kwa mwezi...hawa akiuza hiyo 4000 ataipata saa ngapi hiyo $500...life style zao ni gharama pia ili kumaintain muonekano na thamani....Wapo Malaya wanapanda ndege na kwenda kuuza nchi mbalimbali, hawa unafikiri hizo gharama za kugharamia safari na kianzio wanazitoa wapi wakiuza hiyo 4000.... Unafikiri Malaya anayepatikana pale New Africa hotel Dar anaweza kuwa anauza huko banana kwa 4000?..