Kichaka12
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 300
- 263
Kiuhalisia.. hii huduma imekuwa overated ila ni moja ya huduma muhimu kabisa.
Watu wanaofanya hii kazi (wanawake) wanaangaliwa kwa jicho baya lakin wanasaidia sanaa jamii. Shout out kwao.
Ila nasikitika sanaa serikali inapowanyanyasa wakati wanatoa huduma muhimu kabisa. Hivi wale wanaosema hizi huduma zikomeshwe wanataka watu waende wapi? Au ndio waharibu watoto wao?
Hawa malaya watengenezewe mazingira mazuri ya kufanyia kazi ili kuzuia madhara kwenye jamii.
Nawashilisha.