nakubaliana na wewe Malaya ni malaya tu, awe Newyork, Monaco, Maldive, Pataya, kidimbwi,Juliana, 777 ni malaya tu...
Amini pia wanatofautiana viwango kulingana na maeneo + connection, ni kama sisi wanaume kuna mtu huwezi kumkuta sijui kidimbwi huko au Juliana ila anapatikana kula bata New Africa na Hyatt pale....
Kama malaya analipa nyumba 1mil kwa mwezi, anapaka make up za gharama, anavaa mawig yao yale, analipia Gym kumaintain mkatiko wa mwili, analipia massage daily, bado kula diet food nk ili amaintain hali yake unafikiri anaweza kukuuzia 4000....kumbuka Malaya huyu pia amekulia mazingira si haba kidogo, pia amekua maeneo ambayo yana connections..