Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

Kiuhalisia.. hii huduma imekuwa overated ila ni moja ya huduma muhimu kabisa.
Watu wanaofanya hii kazi (wanawake) wanaangaliwa kwa jicho baya lakin wanasaidia sanaa jamii. Shout out kwao.
Ila nasikitika sanaa serikali inapowanyanyasa wakati wanatoa huduma muhimu kabisa. Hivi wale wanaosema hizi huduma zikomeshwe wanataka watu waende wapi? Au ndio waharibu watoto wao?
Hawa malaya watengenezewe mazingira mazuri ya kufanyia kazi ili kuzuia madhara kwenye jamii.
Nawashilisha.
 
Hakuna hii kitu. Mwanamke mbovu ni mbovu hata awe mazingira gani. Mwanamke standard ni standard hata ufanye naye ngono jalalani. Harufu ya K tu ya mwanamke asiyetumika sana ni tofauti. Unaweza imumunya.
Kwani harufu ya K ya mwanamke anayetumika sana na asiyetumika sana n tofauti [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuanzie hapo kwanza [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Huyo sio Malaya anaishi maisha yake kama anaweza kukaa mwezi bila kuliwa na anaweza kusurvive katika maisha yake inabidi apewe pongezi huyo ni independent na smart sababu hata mwanamke wa kawaida ni ngumu kukaa muda huo wote.
 
Nikushauri tu mtoa mada, bora utafute mchepuko ili ukiwa na dharua akutimizie mahitaji kuliko kununua papuchi, na kama hujaoa fanya haraka uoe. Maana kuna kitu kinakunyemelea kibaya sana
 
Usirudie tena ulichofanya Mkuu, sio kwamba usirudie kununua malaya hapana usirudie kuwachoresha utakuja kupigwa ufe hivi hivi Mkuu.

Akiropoka umemuibia jua imekula kwako, shukuru mungu karopoka jambo la kawaida.

Kuna dogo mmoja alienda kuwarecord kabisa Kwenye vyumba vyao mwisho wa siku akatajiwa bei 3000 akasema ipo Kwenye simu walichukia ila very sad mazingira wanayoishi
 
Kweli wewe ni mud oil chafu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulala na kahaba ni kuichafua nafsi yako nawe mikosi itakuandama, kahaba,malaya ni jalala la kutupia mikosi KILA mwanaume uacha roho yake chafu pale unaposhiriki nae zile roho chafu zinakuvaa na maisha yako yanachafuka.
Wao wanapokeaga roho chafu ila wewe unapokea roho safi..hizi dini bhna.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…