Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Mimi naweza kaa miaka 50 bila kufanya kazi na pesa ikawa inaingia tu na kama una dada au wewe mwenyewe pia nikakuoa.... Maisha ni rahisi tu....msi complicate sana. Hatufanani. We umeshaolewa? Dadizo je?
Kwa hiyo tuseme ushauri wangu uligusa kwenye kidonda kibichi ukakuuma, basi pole.

Nasema pole kwa sababu, thread yako hiyo niliitumia kama 'shamba darasa' kwa vijana wote wanaojaliwa vipato vya maana na kisha vipato vyao hivyo wakavichezea na visilete impact ya maana kwao wenyewe na pia kwa jamii na sijakuattack personal.

Kusema waweza kaa miaka 50 na pesa ikawa inaingia tu nk, hayo ni majigambo yasiyonihusu mimi, ni mambo yako binafsi.

Jitahidi kujizuia mihemko unapokuwa umeanzisha uzi, kwa sababu maoni na mijadala haiepukiki.

Nasema tena pole sana kijana.
 
Ungesema umevinunua mnadan. Kwan vina jina lako
Nilishachukua kirukuu nikasomba vitu vya malaya niliyempangishia Sinza. Nikafika navyo home nikaulizwa nikakosa jibu cha maana tu vinatumika na watoto wana TV yako. Sifanyi ujinga tena wa kumpangishia Demu malaya chumba.
 
Mimi naweza kaa miaka 50 bila kufanya kazi na pesa ikawa inaingia tu na kama una dada au wewe mwenyewe pia nikakuoa.... Maisha ni rahisi tu....msi complicate sana. Hatufanani. We umeshaolewa? Dadizo je?
Kwa kusoma comments zako nimegundua bado utoto na ujinga vinakutawala.
 
Kwa nini wewe unaumia kwa pesa yangu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ulitaka nikupangishie wewe? Sometimes its better to mind your own business ...take your shit advice and shove it up your as*. Pesa yangu,ubwege wangu,kuibiwa nimeibiwa mimi,uzi wangu,nmeandika mimi.... Wewe tu unaumia for nothing ambacho kinakuhusu. Bas njoo wewe pia nikulipie halafu uni cheat. Unatamani wewe ndo ungenitapeli?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huwa ni vibaya sana japo inachekesha kupanic alafu unajibizana na annonymous public figures. reserve ur anger
 
Mkuu achana naye, sometimes watu kama hawa ni wa kuhurumiwa. kama una uelewa wa psychology japo kidogo utagundua jamaa anapitia kipindi kigumu. Kwa maumivu aliyo nayo alitarajia alivyopost humu tutampa pole na kumuona mjanja. sasa amekutana na kinyume chake so anapanic japo mi sioni sababu. anachokifanya kuwabwatykia watu ni sawa na kukimbiza upepo.
 
Kweli nimegundua tulivyochangia tumemuongezea maumivu na stress sasa anatafuta mahala pa kuzipunguzia
 
TV ya aborder ntaweka wapi ndugu yangu.... Siyo deal. Ni TVs za Kipato cha chini
Kosa lako la kwanza n kumfuga kunguru.
La pili kuvunja Tv na Radio, ungechukua na kusepa navyo
 
Kweli nimegundua tulivyochangia tumemuongezea maumivu na stress sasa anatafuta mahala pa kuzipunguzia
Kwa nini wewe unaumia kwa pesa yangu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ulitaka nikupangishie wewe? Sometimes its better to mind your own business ...take your shit advice and shove it up your as*. Pesa yangu,ubwege wangu,kuibiwa nimeibiwa mimi,uzi wangu,nmeandika mimi.... Wewe tu unaumia for nothing ambacho kinakuhusu. Bas njoo wewe pia nikulipie halafu uni cheat. Unatamani wewe ndo ungenitapeli?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…