Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,483
- 6,257
2005/62006/7 hii... Au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2005/62006/7 hii... Au?
🖕Upo period?😳😳😳 How does that concern us?its your life.😁😁😁 Jus mind your own business.
Mfano wako ulioutoa ni foolishness na hauendani,kwani wewe baada ya kumgharamia fenicha ulimuoa?Kupanga ni kuchagua. Kuna ambao hawakumlipia mzazi wako mahari walikula bure... Ila kaja kaolewa na baba yako kalipiwa mahari... Ni mipango tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie hata wewe!Hongera kwa kuwa bosi mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Wewe umeokota malaya halafu unataka awe wa peke yako? We ulisikia wapi?[emoji15][emoji15][emoji15]
Hao wa chini yake itakuwa bandika bandua[emoji3][emoji3]Kama wewe ni bosi, sijui hao unaowaongoza wapoje. Maana unaonekana mshamba sana!
😆😆😆😆😆Kuna mshikaji anaitwa Abubakari.
Alichaguliwaga form one pale Tabora Boys. Akapata demu wa pale Ng'ambo pemben ya mlima Kazehill.
Haikupita miezi mitatu akahamia kwa binti na shule akawa haji. Headmaster alimfuata na gari la shule kwenda kumbembeleza arudi shule, mshikaji akagoma hata kutoka ndani.
Mwisho wa siku alifukuzwa shule kwa kosa la kujihusisha na mapenzi.
Punguza ukali wa maneno dear [emoji23][emoji23][emoji23]Weeee kweli chizi ..demu malaya then wataka umtie peke yako !!!?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hata kama u.esafiri dunia nzima, wewe ni mshamba wa mademu, tabora mbona kuna waarabu koko kibao, iweje uzuzuke hivyo, kwani ulimuoa? Eti hasira za kikurya, hivyoUshamba wangu mzuri. Pesa ninayo...nmesafiri sehemu nyingi duniani, nina uhakika wa maisha.... Haya mengine ni ya ziada. Wewe endelea kuwa wa mjini... Na hali yako hiyo.
Ni mtoto wa kiarabu mzee baba?na mimi nawatafuta hao mkuuNjoo isevya mzee nikupe mtoto mkali
Mie sili bata.Apartment hata sijawai kukuona Big No.....maybe twende kula bata pale Gamalo!!! mji mpweke sana huu.
Nilikuwa jirani yako Napa,chumba cha pili[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] Hbr za wapi Dada yangu....
Nmeonesha tu kuwa kupanga ni kuchagua. Mama yako kuna watu walimla bure. Lakini amekuja lipiwa mahari na baba yako ndo kaoa. So kupanga ni kuchagua. Na kuna ambao walimpa zawadi mama yako....ila hawakumuoa...😂😂😂😂 so yu dont need to feel hurt for my money and my action. Just deal with your miserable life. I use my money the way i want..... Kama nmeliwa ni zangu. Sababu hata wewe nanii yako aliliwa wengine bure wengine walimuhonga.... Leo na wewe ukazaliwa.😂😂😂😂😂Mfano wako ulioutoa ni foolishness na hauendani,kwani wewe baada ya kumgharamia fenicha ulimuoa?
Wewe kubali tu ulifanywa zoba
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Daahhh.... Unatamani ngekufanyia hivyo wewe? Kwa nini unaumia kwa pesa zangu? Najua wadada wengi mnachukizwa. Lakhi nne tano si pesa si chochote. Mimi ni mshamba wa mademu niacheni jamani na ushamba wangu....mnaumia nini ? 😂😂😂😂Hata kama u.esafiri dunia nzima, wewe ni mshamba wa mademu, tabora mbona kuna waarabu koko kibao, iweje uzuzuke hivyo, kwani ulimuoa? Eti hasira za kikurya, hivyo
Sehemu gani? Nielekeze. Isevya kubwa....Njoo isevya mzee nikupe mtoto mkali
Watu wanawanunulia malaya magari ww unashangaa tv ya laki 3,are serious?!,unaweza kukuta jamaa ni mbunge hela anaipeleka wap kama sio kupangishia malayaKusema ukweli nilipofika kwenye kumnunulia TV ya laki3 sijaendelea kusoma...sijui hata story unahusu nini
Kuna thread ipo humu jamaa anasema "hataisahau Kanyenye Tabora" jamaa anasema alikula mama na wanawe cha kusikitisha na kufurahisha baada ya mama kugundua mshikaji anakula wanawe siku mama mtu amekutana na jamaa kwa hasira mama akampa mshikaji tigo ili kuwakomoa wanae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu pole sana.
Kuna jamaa kwenye uzi fulani aligusia kidogo kuwa watu wa tabora wamemtenda vibaya japo hakuweka wazi wamemfanya nini,sasa nilivyouona huu uzi nikajua ni yule jamaa kumbe sio wewe.
Kiufupi watu wa Tabora ndio wapo hivyo mkuu walishawahi kunitenda pia.
Ni watu wa tamaa sana na kupenda mteremko hii huwafanya kuangukia kwenye utapeli.
Na ubaya wa watu wa tabora wamekaa kinafki yaani muonekano wao na mambo wanayoyafanya ni tofauti kabisa,hii inakufanya ushindwe kutofautisha nani ni malaya na nani ni tapeli hadi ukishapigwa ndio utashtuka.
Duh wale watu sio kabisaKuna thread ipo humu jamaa anasema "hataisahau Kanyenye Tabora" jamaa anasema alikula mama na wanawe cha kusikitisha na kufurahisha baada ya mama kugundua mshikaji anakula wanawe siku mama mtu amekutana na jamaa kwa hasira mama akampa mshikaji tigo ili kuwakomoa wanae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]