Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Wenye pesa huwa atubwabwaji bwabwaji kuwa tuna pesa kila reply, huna pesa wewe John kisomo na hii story ni chai Period.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrudie akufanyie revengeHalafu huwa wanalalamika kuwa sisi wanaume wabaya kumbe ubaya wanauanza wenyewe. Sasa anapiga simu na kutuma texts kila wakati kuwa nimsamehe kwa kuwa yule alikuwa mtu wake wa kitambo. So akawa hana namna. Hata kumjibu najisikia uvivu.
Apartment hata sijawai kukuona Big No.....maybe twende kula bata pale Gamalo!!! mji mpweke sana huu.Ee, wataka kunipangia apartment?
😂😂😂 Hbr za wapi Dada yangu....Naomba na mie unipangie chumba[emoji2902][emoji2902][emoji2902]
Tuwasiliane private aisee....Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Pole sana mkuu me mwenyeji hapa Tbr, huyo wa oxygen obviously alikuwa anauza ulimpandisha hadhi sana kumpangia, hawa wanawake wanyamwezi wenye asili ya hapa ni mafundi sana kitandani lakini wanatupigaga sana dawa za kishirikina so huwa tunaponeaga hapa chuo cha uhazili , wapo watoto wakutosha age 18-23, kuwapata connection tuu na sio malaya ni vile tuu ni warahisi kuwapata. Wanaume wengi hasa wafanyakazi ndio tunaponea hapo hawa wenyeji tunatafuna na kukimbia sababu ya dawa zao. Bahat mbaya hiki chuo ndo kimefungwa so wamebaki wachache mtaani kusubilia field. Pole sana mkuu
Upo period?😳😳😳 How does that concern us?its your life.😁😁😁 Jus mind your own business.Wenye pesa huwa atubwabwaji bwabwaji kuwa tuna pesa kila reply, huna pesa wewe John kisomo na hii story ni chai Period.
et ugal misumari[emoji16][emoji16]Na nyumbani umeacha watoto wanakula ugali misumari.
Malipo ni hapa hapa duniani
[emoji23] [emoji23] yaani siku mbilitu na sofa +tv+radio duhKama wewe ni bosi, sijui hao unaowaongoza wapoje. Maana unaonekana mshamba sana!
Hao ni malaya!Aaargh.... Acha tukose wote. Mi sina tatizo. Atapata mtu mwingine wa kumgharamikia kuvununua. Ananipigia simu sana akitaka nimsamehe nirudiane naye amekosa.
Anatuma texts kila baada ya muda mfupi.... Wenzake wananitafuta wakisema niwe nao.....yaani mwenzake ananambia bila woga....shem njoo basi nikupunguze hasira na mawazo....sina hamu nao kabisa....
Mtoa mada kasema yeye ni Mkurya wewe unasema Msukuma. Wasukuma tuliwakosea nini?Likely Msukuma [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kaona tu mtako na weupe wa kishombe shombe basi huyoo tayari kuingia magharama yasiyo na kichwa wala miguu. Tena ana bahati. Huyo aliyemkuta kajifunga kanga anaangalia TV yake angeweza hata kumtoa utumbo...and for what?
Ukifika mahali kabla hujakurupuka ulizia kwanza wenyeji. Ongea na bodaboda wa hapo mtaani watakupa mkanda mzima kuhusu pisi uliyoitageti kabla hujaamua kujitosa kununua maTV na kupangisha vyumba. Vinginevyo unaweza kujikuta unauliwa bure au kuingia katika matata makubwa. Ushamba/ulimbukeni mzigo!
Nūnene nalīnsukuma namhala [emoji16][emoji16][emoji16]Mtoa mada kasema yeye ni Mkurya wewe unasema Msukuma. Wasukuma tuliwakosea nini?
2006/7 hii... Au?Kuna mshikaji anaitwa Abubakari.
Alichaguliwaga form one pale Tabora Boys. Akapata demu wa pale Ng'ambo pemben ya mlima Kazehill.
Haikupita miezi mitatu akahamia kwa binti na shule akawa haji. Headmaster alimfuata na gari la shule kwenda kumbembeleza arudi shule, mshikaji akagoma hata kutoka ndani.
Mwisho wa siku alifukuzwa shule kwa kosa la kujihusisha na mapenzi.
Ni kweli aisee,demu ambaye wenzake wanamgaragaza kwa elfu 10 yeye amegharamia fenichaKwa lugha nyepesi jamaa limbukeni sana. a.k.a. lofa
Kupanga ni kuchagua. Kuna ambao hawakumlipia mzazi wako mahari walikula bure... Ila kaja kaolewa na baba yako kalipiwa mahari... Ni mipango tu.😂😂😂Ni kweli aisee,demu ambaye wenzake wanamgaragaza kwa elfu 10 yeye amegharamia fenicha
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Kiwanja gani hicho mkuu? panaonekana pametulia sana!!wee fala tu, bora hizo hela za gheto na malaya, na tv n.k
UNGELIPIA ADA WATOTO WA NDUGUZO WAKASOMA WANGE KUSHUKURU.
View attachment 1895233