Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out

Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa binti mida ya saa mbili. Cha kushangaza akaja na wenzake watatu wananukia kama majini.

Safari ikaanza mpaka small planet Tabata.

Wakaagiza savana, mi nikaita mtu wa jikoni wakaagiza kila mtu msosi aupendao na mimi nikaagiza. Tukaanza kula nikajifanya naongea na simu nikachukua bodaboda kitandani.

Asubuhi nikakuta matusi mengine mapya kabisa yaani sms za matusi zinapishana tu kwenye simu

Ofa nilikupa wewe Suraiya wewe unaniletea timu ya Twiga stars,

Kwanza sijui kama hao walikuwa binadamu au majini, binadamu wa kawaida amashindwa kumaliza samaki changu wa saizi ya kiganja?
 
Mimi sisitadu mmoja aliniambia nilipie kabisa room anakuja🤣🤣🤣🤣 kilichotokea na simu yake akazima mpaka kesho yake na chumba nishalipia🤣🤣🤣🤣!!!!
 
Taabu ssna wewe😀
 
Nimependa hapo mwishoni 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujafikia umri wakufanya mapenzi first date unataka aje pekee anajuaje wewe kama ni mtu mwema unaushamba sana mtoto wa kiume unakuja kuadithia upuuzi hapa katika shamba la wanaume?

Wewe unaona kama umewakomoa yawezekana kuna mahali walipata changamoto kutokana na hilo ulilolifanya! Basi nikwambie KARMA NEVER SLEEP,KARMA IS BITCH KARMA WILL REVENGE IN OTHER WAY! Ndiyo ujumbe nakuachia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…